Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Nami naomba kuongezea.Kazi ya uchawa haihitaji uwe umesoma sarker on law of evidence wala kujua vifungu vya sheria. Requirements zao ni mbili tu, uwezo wa kusifu kila kitu na kupiga makelele kama wehu tu huko majukwaani.
Wa kwanza ambaye ni Zero brain ni huyu THE BIG SHOW na Tlaatlaah na Lucas MwashambwaKuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.
Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
my friends, ladies and gentleman in politics,Wa kwanza ambaye ni Zero brain ni huyu THE BIG SHOW na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Yamekuja na nyuzi kibao kwenye social media eti "Tunaishukuru mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu..!!🤪🤪🤪🤣🤣
They're totally stupid idiots
Hawa hamna kitu mkuu, bahati nzuri kwangu wote nilisha wa puuza hapa jf hivyo sipati tena shida ile ya mwanzo ya kusoma comment a mada zao!Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema hivyo kwasababu unaona kuwa uelewa wa machawa ni wa chini mno yani chini mnoo, haelewani what is a prima facie case? Japo Lissu alitoa darasa moja mujarabu juu ya maana ya prima facie case, Kwa wale waliosoma kitabu Cha SARKER ON LAW OF EVIDENCE watanielewa hapa namaanisha wale huwa nawaita nguruwe au wapigwa miti wanapaswa kukaa mbali. Hivyo Kwa machawa ruling ya leo yanaamini kuwa ametiwa hatiani.
Mwisho narudia machawa mnapaswa kujielimisha tofauti na hapo mtaishia kuzeekea jf.
So naomba wajuvi mnieleze mlichong'amua na nyie juu ya machawa.
wako mkubwa umekusaidia nini?Hawa hamna kitu mkuu, bahati nzuri kwangu wote nilisha wa puuza hapa jf hivyo sipati tena shida ile ya mwanzo ya kusoma comment a mada zao!
Hata kama wanajitoa ufahamu ili kutetea chama, rais na serikali ila kwa kweli upeo wao ni mdogo mno .
Masawe gani wewe bro!wako mkubwa umekusaidia nini?
ebu toka hapo sebuleni kwa shemj unalala bure
kesi haijaisha mjuba, tulia utapopolewa mawe, unaishukuru mahakama wakati kesi bado haijafika mwishomy friends, ladies and gentleman in politics,
I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.
tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality.
"that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death."my friends, ladies and gentleman in politics,
I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.
tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality.
my friends, ladies and gentleman in politics,
I told you earlier today that,
Kibaraka has a case to answer, and I would also like to confirm to you without fear of contradictions that Kibaraka is going to be sentenced to life in prison and hanged until death.
tell your colleagues that this is not a prediction, it is a reality.
THE BIG SHOW Ritz Mlienda shule kujifunza ujinga?Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.