Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua

Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka
 
Hali imeshakuwa ngumu kitambo tu. Tangu wakati wa yale maigizo yake ya kampeni, fedha ilianza kupotea mtaani. Kimsingi maza wako anaipeleka hii nchi shimoni kwa sababu tu ya ukaidi wake.
 
amna kipindi kina pesa nyingi mtaani kama hiki, kama huingizi pesa iki kipindi basi wewe sjui lini utaingiza pesa
 
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua

Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka
Maana yake kuwa vyote vitakuwa vimesha choteka sio?
 
Endelea kujidanganya eti miaka 4 ..miezi 6 hatoboi
 
amna kipindi kina pesa nyingi mtaani kama hiki, kama huingizi pesa iki kipindi basi wewe sjui lini utaingiza pesa
Sema machawa awamu hii mnapewa pesa nyingi kuliko hata wafanyakazi wa serikali....kila post unaokota, mshindwe kutoboa wenyewe
 
Nyumbu wako bize kupanga tarehe za maandamano, mara D9 tunatoka, eeeh, mara tunatoka D25, ohhhh, hapana tunatoka J12, mpaka itafika 2030
 
Sema machawa awamu hii mnapewa pesa nyingi kuliko hata wafanyakazi wa serikali....kila post unaokota,,kummke mshindwe kutoboa wenyewe
katika maisha lazima uwe sharp
 
Maana yake kuwa vyote vitakuwa vimesha choteka sio?
hapana, kila pesa ya kodi asilimia kubwa haitarudi mtaani bali itaenda kulipa madeni! uchumi ni kutegemeana mfano unajenga SGR Unapata ela unakuja kununua matunda kwangu mm naenda pharmacy ingine, so chain ya juu ikikata wote chini lazima hali iwe mbaya
 
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua

Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka
Nani kakuambia atamaliza muda wake, maisha mtaani magumu lkn bado mnaongopa eti kuna pesa, hamjawahi kumiliki akili nyie watu.
 
Back
Top Bottom