Hamnaga aikili nyie watu ndiyo mana mnadhani kutumia nguvu na kutisha watu ndiyo suluhisho pekee.we kaa apo subiria asimalize
Kwani wakati huo yule mchumi wetu mbobezi atakuwa wapi?hapana, kila pesa ya kodi asilimia kubwa haitarudi mtaani bali itaenda kulipa madeni! uchumi ni kutegemeana mfano unajenga SGR Unapata ela unakuja kununua matunda kwangu mm naenda pharmacy ingine, so chain ya juu ikikata wote chini lazima hali iwe mbaya
Sawa msalimie na mpe jukumu hili mapema baadae asiseme kastukizwaatakua anapokuaga
Kuiba duka la mtu mmoja na kuibia mamilioni ya watu bora nn? Nyie mmeiba vingapi mpk mjifichie kwenye kichaka cha duka moja?kwahio nyie mmona kuiba maduka ya watu ndo suluhisho
Kuchoma mali za watu na kuchoma miili ya watu bora kipimmeiba duka moja? vp maliza wa watu mliochoma?
Nimewahi fika kwenye maduka yako yapi?unavoelezea kama mtu vile kumbe mwizi wa maduka 🤣
Kwahiyo mnakubali kwamba mliua watu si ndiyo?kwan hao watu waliuliwa bila kosa?
Unajaribu kulinganisha mali na uhai? Mbn nyinyi watu ni mashetani sn?mmekubali kwamba mlichoma mali za watu?
Hamnaga akili, ndiyo mana jamii imekataq kuongozwa na akili za namna hii.jibu swali