amna kipindi kina pesa nyingi mtaani kama hiki, kama huingizi pesa iki kipindi basi wewe sjui lini utaingiza pesaHali imeshakuwa ngumu kitambo tu. Tangu wakati wa yale maigizo yake ya kampeni, fedha ilianza kupotea mtaani. Kimsingi maza wako anaipeleka hii nchi shimoni kwa sababu tu ya ukaidi wake.
Maana yake kuwa vyote vitakuwa vimesha choteka sio?Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua
Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka
Endelea kujidanganya eti miaka 4 ..miezi 6 hatoboiBaada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua
Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka
Sema machawa awamu hii mnapewa pesa nyingi kuliko hata wafanyakazi wa serikali....kila post unaokota, mshindwe kutoboa wenyeweamna kipindi kina pesa nyingi mtaani kama hiki, kama huingizi pesa iki kipindi basi wewe sjui lini utaingiza pesa
Inaweza kuwa ni ulewa mabwepande na madale!PEsa nyingi mtaani ziko wapi??
Ujenzi gani??
Kwani ume stakehigh?kuna shido?
hapana, kila pesa ya kodi asilimia kubwa haitarudi mtaani bali itaenda kulipa madeni! uchumi ni kutegemeana mfano unajenga SGR Unapata ela unakuja kununua matunda kwangu mm naenda pharmacy ingine, so chain ya juu ikikata wote chini lazima hali iwe mbayaMaana yake kuwa vyote vitakuwa vimesha choteka sio?
Nani kakuambia atamaliza muda wake, maisha mtaani magumu lkn bado mnaongopa eti kuna pesa, hamjawahi kumiliki akili nyie watu.Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa kupitia ujenzi zinazofanyika, kwa mda ule hali itakua ngumu kidogo kulipa madeni kwa kiasi flan mpaka pale zile interest zitakapopungua
Hivo katika hii miaka 5 ya saaahv jitahidi uwe na uwekezaji wa kuduma mfano biashara, Bond, crypto, hisa zitakusaidia sana kwa kile kipindi kwan mtaani patakauka