Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu yangu yakawaida tu sijasoma sana,lakini mfano uliotoa sijakuelewa sababu ya Elimu.Naendelea kukufahamisha lissu hakushambuliwa na utawala wa magufuri Bali alipanga mwenye jamaa ya kushabuliwa ili kuchafua utawala wa JMP apate huruma ya kisiasa.Kwa akili yako ya kupambanua mambo risasi zaidi ya 30 zisiue mtu? kwa mfano duniani wapi lilitokea hilo tukio,lakini kwa lissu lilitokea
Mwambie haelewe,Magu ni jembe.
Atakuwa ndiye aliyerusha risasiPovu lote hili la nini mataga?
Mleta mada badala u mourn mpendwa wako unahangaika na watu wengine kifo tumeumbiwa sisi binadamu, pia kuhusu kutofautiana sio dhambi topic yako iko ku blame zaidi. Nikupe Pole sana
Unaweza kutuambia ni sheria zipi au vifungu vipi vya katiba ambavyo Tundu Lissu, Mange Kimambi na hao wengine umewataja wamevikiuka paka kuitwa wasaliti? Au ni kwamba Mtanzania yoyote ambaye hakubaliani nawe ni msaliti?
unaweza ukawa na elimu lakini bado ukaendelea kuwa mjinga,elimu ni pana huwezi kuimaliza. Huyu alisomea siasa,na Yule alisomea kilimo, mwenzako urubani,utabibu.unapojua hiki mwenzako kile ndio elimu ilivyo.Kumbe elimu yako ya kawaida ndiyo maana sishangai ulichoandika. Elimu inafuta ujinga
1. Hizo risasi 30 alipigwa akiwa sehemu wazi amesimama?
Alifanya maigizo ili kuchafua utawala? Tatizo una elimu ya kawaida tu.
Unamkumbuka yule raisi wa UDSM alisema ametekwa, baada ya kupatana aliendelea kudunda mtaani? Nalo hulijui, alikamatwa na polisi.
Fanya haka kazoezi kadogo tu ka maigizo. Safiri, nenda mbali hata huko kijijini. Ukishafika piga simu kwa ndugu zako kuwa umetekwa. Kaa km mwezi haupatikani kwenye simu. Sasa jitokeze, nenda kwenu halafu uone kinachokutokea. Utaenda kunyea debe
Nyie wenye elimu ya kawaida, ndiyo mnasumbua jamii maana hamjui lolote kuhusu sheria yaani mpo mpo. Pole sana elimu yako ya kawaida.
Utamkuta mtu yuko kijiweni tu au kwa shemeji yake hana mishe anakuambia pesa
Hakuna
Ova
unaweza ukawa na elimu lakini bado ukaendelea kuwa mjinga,elimu ni pana huwezi kuimaliza. Huyu alisomea siasa,na Yule alisomea kilimo, mwenzako urubani,utabibu.unapojua hiki mwenzako kile ndio elimu ilivyo.
Hayo tuyaache na kila kitu kilichopangwa kimetimia sasa jifunze kufuatilia mambo kwa kina Nakutakia usiku mwema
Thanks bro you nailed it although nashangaa baadhi ya watu wenye mapenzi na magu kama wanavyojieleza kukaa na kuandika defensive threads humu as if tupo kwenye mazoezi ya kambi ya taarabu thats not fair kuweni wapole mpendwa wenu azikwe alafu mje humu, coz current mnasababisha watu ambao hawakupenda utawala wake kutoa mapungufu yake which is not okey kwa marehemu!!! just relax tumalizen shughuli kwanza au nasema uongo ndugu zangu?!!!!!!!!Mkuu naona umeongea kwa hisia na hasira pia.
Ila kumbuka michezo ile ya kutekwa, kuteswa, ukikosoa Serikali unasakwa ili ushughulikiwe , wafanyakazi wamekosa haki yao ya kupandishwa madaraja na nyongeza ya mishahara zaidi ya miaka mitano huku Serikali ikijisifia kuongeza mapato ya kodi.
Mambo hayo yalikuwa hayapendezi.
Hata hivyo pamoja na mapungufu hayo si vema kufurahia kifo cha mwingine, maana sote ni wa Mungu, njia yetu ni moja.
Nakomment heading tu.Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya Watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha Hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu, Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe Watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lissu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.
Tundu Lissu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia Watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Basi ataishi milele baada ya kuchanjwa kwa risasi 30Ukiwa na elimu ya kawaida ndiyo utaendelea kuwa mjinga ila elimu kubwa unakuwa na upeo mkubwa wa kuchanganua mambo.
Alipigwa risasi 30 akiwa kwenye gari, akapelekwa hospital Kenya, akaomba msaada wa kifedha wa matibabu, na akavuliwa ubunge. Haya yote unaona ni maigizo. Elimu ya kawaida ni mzigo.
Polisi wanakitengo cha FRAUD, igiza na ww km Lisu uone polisi km watakuacha hai.
Wale jamaa waliotoa habari Jiwe anaumwa, walikuwa wanaigiza? Nenda kawafuatilie halafu ujue wapo wapi kwa sasa.
Ukiwa na elimu kubwa hata km daktari wa mifugo au upasuaji, utajua km hapa anadanganya hapa yupo sahihi.
--Kuwa traitor ktk inchi yako ndy kwamba umesoma vzr au sio mkuu..Kwa hizi akili siwezi laumu mfumo wa elimu
Na aliyepinduwa meza nae surusli imemvukaAbebe huu ushauri kama anazo timamu. Meza ishapinduka
Wewe ni lofaNakomment heading tu.
What a such an idiotic idea! Hakujua maana ya hela kupotea ni ule mbinyo wa TRA kutoza kodi kubwa,
Kubambikiza kesi wenye hela hadi wanafunga biashara.
Kutoajiri
Kutopandisha vyeo
Kutolipa mafao wastaafu nk.
Haukuambiwa Kuokita hela njiani.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app