Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

Bora umeuweka hyu uzi tutawawekea maajabu yanayotokea huko Ghaza:

Tazama ajabu nyengine hii, mateka wa kizayuni anambusu kichwa kwa heshima mpiganaji wa Kipalestina wakati wanamkabidhi kwa red cross:
IMG-20231128-WA0036.jpg
 
ila ww jamaa kilaza sn , kwamba wale boko haram wanaoua wakristu wanatupenda wakristu au wale alshabab na magaid ya msumbiji ni wakristu wale wapo kuwachinja waislam
Mkiristo gani anaeliwa? Dah chuki zako kwa waislam wa tz zinaonekana wazi wazi. Dah
 
sio ajabu, Mungu anawapenda pia wapalestina, hakuruhusu huyo mtoto afe. ila sio allah, ni Mungu wa israel, allah alivyo katili asingekubali huyo mtoto aendelee kubaki hai, labda kama ni mtoto jini kama vile visharifu vinavyozaliwa vinajua aya zote na havijawahi kwenda shule. majini yale sio watu.
Kwani ukisema ALLAH au MINGU utofauti wake ni nn...?

Mbona mnajitoa akili namna hiyo...?
 
Hamn ukwel wa hyo Taarfa

Mtoto yupo normal kbs
Siku 37
 
Ndani ya handaki ndio Akburu akisikia Netanyahu anakimbilia kwenye Handaki? Acheni ujinga Jiwe haliwezi kuwa Mungu na lenyewe lishasema sio Mungu
Umekurupuka tuliza akili.
 
Mkiristo gani anaeliwa? Dah chuki zako kwa waislam wa tz zinaonekana wazi wazi. Dah
hapo kitaya mtwara aliuliwa bibi yako ? au lile bus la wanafunzi nchin kenya waliochinjwa ni waislam
 
BBC a,, Z
Hii haiondoi ukweli kwamba hamas ni magaidi yanayoua watu kikatili
Gaidi kwako mpigania uhuru kwa wengine, na huyo binti wa Kiyahudi kadhihirisha hao ni wapigania uhuru.

Umeona ajabu lingine waliloonesha wapoganaji wa Qassam walivyowaachia mateka wa leo?
 
HAMAS wanatumia mfumo kama wa Ccm tengeneza tatizo kisha tatua usifiwe
 
Kwa akili ya kawaida tu binadamu havuki siku 4 akikosa maji na chakula.

Ila hata kama ni muujiza.............kwa vumbi la siku 37 chini ya kifusi cha matofali mmeshindwa kutumia hata macho na akili ya kawaida kujiuliza kwanini mtoto huyu ni msafi kama vile katoka kuogeshwa na kikoi chake ni kisafi hakina hata vumbi ?
Ndo maana Mudi huwa anawazawadia mabikira 72 usishangae ndugu. Jiunge hujachelewa
 
Back
Top Bottom