Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Mwenye macho na asikie hivi vyama vya upinzani vipo kimkakati ndo mana jpm alitaka kuvifutilia mbali. Bora kiduku na Putin hawavitaki kabisa ili nchi iende lazima kiongozi awe dictator. Sijui Samia anasubiri Nini kuwa dictator
Halafu utakuta MTU kama wewe ni baba wa familia kabisa na Ndugu zako wanakutegemea! Shenzi sana
 
Wahi
20230915_053520.jpg
 
Nchi itaendelea hadi pale fikra za mtu mmoja mmoja zitapokombolewa...
 
Mwenye macho na asikie hivi vyama vya upinzani vipo kimkakati ndo mana jpm alitaka kuvifutilia mbali. Bora kiduku na Putin hawavitaki kabisa ili nchi iende lazima kiongozi awe dictator. Sijui Samia anasubiri Nini kuwa dictator

Uongo...
Hujui udikteta wewe...
Ushabiki usikufunge macho.
Tanzania ni moja, raia ni wamoja, kila mtu ana haki ya kushiriki siasa, kuchagua au kuchaguliwa.
MSIPOTOSHE MAMBO
 
Nimesoma Hii habari kwenye Gazeti la Nipashe

Ndio nikauliza Kwanini hakupandia KIA?

Lisu Mtata Sana!

Jumaa kareem!
 
Mna mahusiano? Inawezekana alienda onana na mchepuko wake kwanza! Au alipata ticket ya bei rahisi Nairobi.
 
Mimi kipindi utawala ule dhalimu ulivyokua unapoteza watu nilikua naumia sana, nikikumbuka nakilichomkuta lisu...

Lakini kwa ujinga anaoendanao wa kutamani kutengeneza tahaluki kwenye nchi, kiukweli anajizalaulisha mwenyewe..mana itafikia hata akichinjwa hazalani watu watamchukulia poa tu.

Kama kuna watu wanamtumia iwe wa ndani au nje kwa ujinga huu anaoendelea kufanya kwa lengo la kujipatia liziki, basi ajitasimini sana.
 
Isije ukadharaulika wewe unayeamini ukosoaji ni dhambi.
 
We Mzee umeuliza swali la kijinga!
Kwani haujui kuna mashirika ya ndege kwenda ughaibuni yanaanzia Nairobi lakini KIA hakuna?!.
Tena mengi tuu.
So kwa KIA huenda TL alikosa nafasi akaona bora aende Nairobi ndege ni nyingi atapata nafasi awahi kuondoka.
 
Isije ukadharaulika wewe unayeamini ukosoaji ni dhambi.
Ukosoaji haukataliwi..na wanaokosoa kwasasa tunawaona wapo wengi tu, kwanini alalmikiwe yeye na wenzie hawa akina mdude.
Utawala ule kama unakumbuka hata umeme ukikatika mtu kulalamika hata ukiwa sebuleni kwako ili ulalamike na familia yako unatoka kwanza barazani ili ujihakikishie kua hakuna mtu mwingine anaekusikiliza.
Leo hii kila mtu anaongea hadi kutukana lakini , shida mfumo anaotukia kukosoa ni wa kujenga taharuki.
Hii sio kweli mkuu. Akitaka kuendelea kuheshimika basi ajilekebishe.
Mbona mbowe hasemwi hivyo, wewe hujiulizi!!
 
Pamoja ya kuwa wote ni udiktekta ila unatofautiana lazima angefikia alipo mwenzake ni suala la muda
 
Back
Top Bottom