Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mimi siwezi kuwa safari moja na kenge mpuuzi ambaye hajitambui hata kata rasimali za taifa lake zinaibiwa.Leo hii unaniita Kenge?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Tulikuwa wote katika ile safari ya utawala wa JPM...
Kipi kimewabadilisha ninyi watu ?!!
CCM ni ileile
Tanzania ni ileile
Dola ni lilelile
Tulikuwa na JPM kwa maslahi ya matumbo yetu na viriba vyetu vya tumbo ?!!!
Endelea kuchukia.....sikumpenda JPM kwa sababu yake bali "integrity" endelevu ya JMT....
Kalaghabaho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app