Chawa wa Samia mnapiga deflection.
Lissu hamiliki hata jeshi la mgambo unasema alileta ghasia are you sober?
Samia alienda ziara ya kuzindua filamu kakaa wiki 2 huko , na safari zake kadha wa kadha za siri zilizonaswa na flight radar akielekea Dubai .
Samia kaweka tamasha Kizimkazi na wakata mauno wameenda huko kukaa huko karibia wiki nzima huku kukiwa kuna mgao wa umeme wa siri siri katika maeneo mengi ya Tanzania na mafuta yakiwa hayapatikani huko kizimkazi watu walikuwa wanapiga cheers tu huku wakienjoy posho.
Kabla hamjaanza kujadili safari za Lissu tuanze na Samia anayewaambia watu walete kwa urefu wa kamba .
Kiongozi anayewaambia watu wajipimie kinachowatosha kwenye kodi za wananchi hafai.
Na kwa nchi ilipofika hata Bambo na Kingwendu wanaweza kuongoza tu