Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Acha kutamani vya warume
Tulia kijana acha mawazo mgando kusema mtu anapesa inaingiliana vipi nakuolewa..? Kama hivi ndivyo mnavyowaza basi taifa Lina watu wa hovyo!
 
Kamanda nilimshusha vyeo vyote ile siku.....

Alikutana na kamati ya wabunge wa chama chao rafiki CDU wakakubaliana "walobby" mule bungeni BUNDESTAG ili waizuie Tanzania isiendelee na mradi wake wa ujenzi bwawa la ufuaji umeme Mwalimu Nyerere.......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kamanda huyu ni "mdananda" haswaaa [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tulia kijana acha mawazo mgando kusema mtu anapesa inaingiliana vipi nakuolewa..? Kama hivi ndivyo mnavyowaza basi taifa Lina watu wa hovyo!
Mtu wa hovyo ni wewe. Mtu kwenda kupumzika ughaibuni unaona anasa
 
Acha ushoga wewe. Utatembea unanuka mavi mpaka lini?
IMG_20230802_154230_057.jpg
 
Kamanda nilimshusha vyeo vyote ile siku.....

Alikutana na kamati ya wabunge wa chama chao rafiki CDU wakakubaliana "walobby" mule bungeni BUNDESTAG ili waizuie Tanzania isiendelee na mradi wake wa ujenzi bwawa la ufuaji umeme Mwalimu Nyerere.......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kamanda huyu ni "mdananda" haswaaa [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pointless we kenge
 
Kwa kazi zipi za uwakili zinazompa "mipesa" ya kupumzika ULAYA NA MAREKANI ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

WATANZANIA tuamke....hawa makuwadi wa UBEPARI ,UBEBERU NA SOKO HURIA wamejipenyeza kila eneo....ikiwa wako misikitini na makanisani watakosaje kuwa siasani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

#Siempre Serikali Mbili Za JMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa kama dalali wa bandari tu anatangaza wasafi pale Kitenge anakwenda Kila wiki mji anaotaka duniani ndio iwe ngumu Kwa kamanda mpambanaji
 
Sasa unafikir Hana biashara anazofanya acha huyo Lissu ambaye pia ni Makamu mwenyekiti Mimi tu naweza seuze yeye!
Sijasema hawezi.....

Nimeuchora mstari tujue ni jinsi gani hawa watu wana "connection" kubwa nje ya nchi......

"Connection" hizo ni kwa maslahi ya akina nani haswa?!!!

Ona hili.....

Ni Lissu aliyewashawishi wabunge marafiki zake wa CDU walobby pale BUNDESTAG ili Tanzania izuiwe ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere(unganisha dots)....

Wabunge wale wakadai kutakuwa na uharibifu wa mazingira pale SELOUS ambako ni TURATHI ya dunia[emoji1787][emoji1787]

Cha ajabu huko kwao kuna viwanda kila eneo[emoji1787]

Tanzania haikukurupuka....UNESCO walitoa ITHIBATI ya kuendelea kwa ujenzi wa bwawa kwa kuwa eneo lililotumika halizidi 3% ya eneo lote la hiyo TURATHI.....

Hizi Siasa za KIMATAIFA za akina Lissu hazina afya muruwa kwa maendeleo ya mataifa yetu.....[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kazi zipi za uwakili zinazompa "mipesa" ya kupumzika ULAYA NA MAREKANI ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

WATANZANIA tuamke....hawa makuwadi wa UBEPARI ,UBEBERU NA SOKO HURIA wamejipenyeza kila eneo....ikiwa wako misikitini na makanisani watakosaje kuwa siasani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

#Siempre Serikali Mbili Za JMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ameenda kikazi acha upoyoyo.
Akirudi kinawaka.
 
Pointless we kenge
Leo hii unaniita Kenge?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Tulikuwa wote katika ile safari ya utawala wa JPM...

Kipi kimewabadilisha ninyi watu ?!!

CCM ni ileile
Tanzania ni ileile
Dola ni lilelile

Tulikuwa na JPM kwa maslahi ya matumbo yetu na viriba vyetu vya tumbo ?!!!

Endelea kuchukia.....sikumpenda JPM kwa sababu yake bali "integrity" endelevu ya JMT....

Kalaghabaho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom