Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Wamlaumu mzungu kwamba anachukua mbuga zao harafu tena aende huko huko Kwa mzungu wanamtumia kuharibu Nchi.

Taahira ndio atakuelewa.
Anayechukua mbuga na bandari ni mwarabu bwashee ambaye ni mjomba wa taifa, au unajitoa fahamu?
 
Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.

View attachment 2747518
Kibaraka ni huyu aliyetoa rasilimali zetu kwa wajomba zake
 
Anaenda kuripoti kwa waliomtuma na kusalimia familia yake. Lissu ni mmarekani ngoja tuwawekee passport yake humu.
 
Nchi imekopa ila hatutumiwi kama Lisu msaliti kuvuruga amani ya Nchi Kwa sababu yeye ana pa kukimbilia.
Mkiambiwa elimu ni muhimu mnakuwa wabishi kwa kuwasikiliza wanaowashikia akili zenu, ungesoma shule ulaya kwako ingekuwa kama kwenda Mpiji, wakati wowote huyu unasepa.
 
Lissu anawafanya nyie CCM karibia wote muishi maisha magumu mno; kazi ya kuchungulia maisha ya mtu ni ngumu, nafikiri mna hamu hata kujua chumbani kwake kukoje... 😳
 
Mkuu,ni kweli kila bandiko hua tunaomba kapicha kakusindikizia uzi,ila hiyo picha inahusiana nini na hili bandiko?

Yangu ni hayo tu kwa leo.
 
Acha ukasuku, katika mikutano aliyofanya wapi palitokea vurugu? Mnaaminishwa ujinga na viongozi wabovu walioshindwa uongozi na kukimbilia fitina
Mnashangilia viongozi wanao tumiwa na mabeberu, familia zao wameficha Ulaya nyinyi wanakujazeni ujinga tu.
 
Unamjua anaemlipia hizo gharama? kaa kwa kutulia. Unazani pia hiyo mikotano fund inatoka wapi kuifadhiri
 
Hata Mwl Nyerere alisafiri kwenda mataifa mbalimbali kupata uungwaji mkono Ili kupata Uhuru.

Kumtoa maasai gerezani Ngorongoro zinahitajika jitihada kushirikisha mataifa mbalimbali.
 
Huenda amenusa harufu ya kukatiwa moto na kuzimwa moja kwa moja!
Anyway huwezi jua, huenda ameenda kuwaona madaktari wake kujua maendeleo ya afya yake baada ya kupigwa zile risasi!
 
Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.

View attachment 2747518
Hoja ya kipumbavu kabisa.

Ndo maana mnaweka vikwazo watu mupata passport kwa sababu mnaogopa kushtakiwa kwa wafadhili.

Acheni upoyoyo
 
Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.

View attachment 2747518
anapeleka report ya wiki mbili ofisini kwa mwajiri
 
Sina Nchi ya kukimbilia Mimi nalima mpunga huko Lisu akivuruga mambo nitaenda wapi? Kumbuka Mimi napinga ushoga ila Lisu anaunga mkono.

Au wewe unako Kwa kukimbilia?umeshahamisha familia?
Kumbe wewe ni mkulima wa mpunga ....ndio maana una maneno ya kishamba shamba kama mpunga... 🙂
 
Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.

View attachment 2747518

Tundu Lissu anaona watanzania wajinga kama yeye, hana adabu kabisa

Watoto wake wako Marekani, wanasoma huko, wana uraia wa Marekani, anachofanya anataka kuchochea watanzania ili vurugu zikitokea yeye asepe zake atuache tuvurugane, ndio azma yake, la wamasai wa Ngorongoro na Loliondo ni kuwaondoa tu, sbb wataharibu uoto wa asili kabisa, wamasai wa Kenya wamejaa Ngorongoro na Loliondo na mifugo malaki, hii haikubaliki katu, wahamiaji haramu na mifugo malaki wataua kabisa Ngorongoro na Loliondo
 
Anaeneza chuki au anawasema majizi ya kura. Au mkiiba kura ndio mnaeneza upendo?
Anaeneza chuki,kwani wanaosema Serikali ni yeye tuu? Mbona wengi tuu wanaosema na hawajungumziwi Kwa kuwa vibaraka kama Lisu Msaliti wa Taifa?
 
Back
Top Bottom