Mateso wanayoyapata wa Masai waliofurushwa ngorongoro na CCM na kupewa waarabu hiyo ni amani ya nchi?,waliogawa bandari zetu na mbuga zetu kwa waarabu wao siyo vibaraka wa waarabu isipokuwa Lissu ambaye pengine kama amekwenda huko kujitazamia afya yake kutokana misukosuko aliyoipata wakati wa kukamatwa yeye ndiye kibaraka wa wanzungu.
Wakati hata huko kwa wazungu anakokwenda chanzo ni wasiojulikana lakini wanajulikana na watawala kutaka kumuua Lissu kwa kumchapa risasi,lakini hayo hayasemwi anaesemwa ni Lissu,wakati wauaji wametulia na wamekazana kuuza bandari na mbuga za wanyama,wao wanashangiliwa na kupigiwa makofi kuwa wanafanya vizuri.