Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti Ili asije kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.View attachment 2747518

Kawaida tu kama ambavyo mama abdul naye kila baada ya muda huenda dubai kupelekea report wajomba
 
Wewe familia Yako iko Rujewa umeshindwa kuikomboa 😄😄🔥🐼🐼
Sina Nchi ya kukimbilia Mimi nalima mpunga huko Lisu akivuruga mambo nitaenda wapi? Kumbuka Mimi napinga ushoga ila Lisu anaunga mkono.

Au wewe unako Kwa kukimbilia?umeshahamisha familia?
 
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti Ili asije kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.View attachment 2747518

TL NI MPUUZI SANA, LENGO LAKE LA KWENDA KULIA LIA LIMETIMIA, HASA BAADA YA KUKAA NDANI KWA MASAA, KWAKE NI FURSA, TAYARI.
TUMPUUZE TU, YUPO KAZINI NAHISI ATAKWENDA KUPIGA KELELE KWENYE TAASISI ZA URITHI WA DUNIA, I THOUGHT SO!
 
Ulaya na Marekani Kwa sababu Lisu Yuko kinyume na sera za Russia na China
Ulitaka aende Russia na China? Mbona Samia hajaenda kuonyesha filamu ya royal tour huko Russia na China, ama naye yuko kinyume na hizo sera zao?
 
Ulitaka aende Russia na China? Mbona Samia hajaenda kuonyesha filamu ya royal tour huko Russia na China, ama naye yuko kinyume na hizo sera zao?
Wewe Wacha upumbavu,Rais amealikwa China alienda na Wachina walikuja kurekodi Filamu za vivutio Tanzania.

Huyo kibaraka wenu hatutakubali avuruge Nchi.
 
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.

View attachment 2747518

Kibaraka ni yule anakabidhi bandari zetu kwa wajomba zake kwa mkataba wa milele na ndiye wa kudhibitiwa
 
Kibaraka ni yule anakabidhi bandari zetu kwa wajomba zake kwa mkataba wa milele na ndiye wa kudhibitiwa
Bandari ipi iliyokabidhiwa Kwa mjomba?

Tenda ya ujenzi wa Bagamoyo Port hii hapa mbona sio mjomba anajenga?
Screenshot_20230912-154846.jpg
 
Misingi ya Tanzania ya Nyerere ni kukataa kuwa kibaraka wa Mabeberu
Kuna Vibaraka wa Mabeberu kuliko hao waliopo madarakani? Ndiyo maana nimesema ukikua utaacha, maana ndiyo utakua na akili za kumtambua kubaraka ni yupi, kwa sasa unatumia ulichoelekezwa 'kutoka juu'.
 
Back
Top Bottom