Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

Status
Not open for further replies.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya.

Sifa zangu
Urefu Futi 5.9
Elimu: degree moja
Kazi Mwalimu wa secondary (Government)
Kabila Haya


Sifa za Mwanamke
Awe Bikra
Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili
Dini Muslim

Sifa kuu awe bikra
na smart kichwani That all

Umri 18 Hadi 28
=====


Update: Found
 
Last edited:
U Umeamua uruke na Kishwkwambi kabisa
 
Hhhhhhh kishkwambi cha sensa ndo anatype jamaa kataa ndoaa


Hhhhhhhh tunza kishkwambi kwanza hlf ndo utaweza kutunza mke
 
Unataka kuonja bikra upite hivi?

Jana ulipinga ndoa leo unataka kuoa?

Tutakuweka chili ya uangalizi mwaka mmoja kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…