Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

Status
Not open for further replies.
Acha kujishauwa wew jamaa, oyaaa msimuamin huyu jamaa ni SPY...namaanisha huyu mtoa mada anawanafikia katumwa/tumemtuma Team ya kataa ndoa aje ajifanye kuungama akubali ndoa, na apate demu, amuoe alafu watibuane huko kwenye ndoa then wabwagane ili arudi tena hapa jukwaani kuongelea vibaya ndoa na kuisifu Team ya wasiotaka kuoa[emoji23].

Nmemuumbua maana kavunja sheria za Wakataa ndoa, tulimtuma aje aoe kmya kmya lkn sio kuungama adharani na kutoa siri[emoji23][emoji23][emoji23](JOKES)
 
FB_IMG_16781850061182492.jpg

Umeacha mziki au umehama Bendi ?
 
Acha kujishauwa wew jamaa, oyaaa msimuamin huyu jamaa ni SPY...namaanisha huyu mtoa mada anawanafikia katumwa/tumemtuma Team ya kataa ndoa aje ajifanye kuungama akubali ndoa, na apate demu, amuoe alafu watibuane huko kwenye ndoa then wabwagane ili arudi tena hapa jukwaani kuongelea vibaya ndoa na kuisifu Team ya wasiotaka kuoa[emoji23].

Nmemuumbua maana kavunja sheria za Wakataa ndoa, tulimtuma aje aoe kmya kmya lkn sio kuungama adharani na kutoa siri[emoji23][emoji23][emoji23](JOKES)
Daaah alafu hii ilinipita kabisa
Huyi chamani arudi tena kwa aliyofanya alaaaah
 
Alivotaja kabila kabla sijaona picha nikaanza kucheka [emoji1][emoji1][emoji1]

Sometimes ujanja ni ushamba usipojuwa kuutumia.

Nae ni mwalimu halafu unasaiti chama.

Mimi kama mwenyekiti wa chama cha KATAA NDOA nimechukizwa na hatua yako.
Mwenyekiti habari yako..
Aaah awali ya yote nilikua naomba kila nyuzi ambayo itakua inagusia mambo ya ndoa naomba unitagi mimi kama agent au wakala mkuu wa hiki chama
Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom