Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

Status
Not open for further replies.
 
Unavimba na Kishikwambi cha serekale mzee😁
 
Alivotaja kabila kabla sijaona picha nikaanza kucheka [emoji1][emoji1][emoji1]

Sometimes ujanja ni ushamba usipojuwa kuutumia.

Nae ni mwalimu halafu unasaiti chama.


Mimi kama mwenyekiti wa chama cha KATAA NDOA nimechukizwa na hatua yako.
 
But its my opinion siunajua camera zetu hizi

Kila la heri kwake pia ajifunze kua na kauli nzuri ni hayo tu
Watu wenye kauli mbaya Mara nyingi kauli zao zinafanana na mionekano.
 
Wasichana, mume huyo changamkieni, Sisi mashangazi tulichangamka tukaolewa shauri yenu!
 
Huwa nahisi wahaya kwa sifa wanaonewa kumbe ni uhalisia, jamaa kajifotoa huku kashikilia kishikwambi, mimi ni mwalimu.!!!!!!!
 
Viatu vimekwisha muda wa matumizi wewe bado unavilazimisha tu, simu ya 70 elfu na kishikwambi ulicho pewa na ccm hapo ukute hauna hata mia unasubiri laki nne yako tarehe 23. Walimu mnamaisha magumu sana kwakweli pole sana ndugu yangu
Mwl wa sekondari hapkei laki 4
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…