Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.

Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.

Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
 
Bahati nzuri aliyekuwa anapenda kusimama barabarani hayupo tena.

Maana miaka ile ungeweza kusikia
"Mpenzi mtazamaji wa TBC1 tunakatisha matangazo haya ili tujiunge na wenzetu waliopo Chattle ambapo Mtukufu anasalimiana na wananchi waliozuia msafara wake""
kwani ulikiwa ukiona rais anaongea na wananchi wake waliomuajiri unajisikia kuhara??
kitizama hilo na taarifa ya habari ya wamasai wavunjwa miguu kipi kinavutia?
 
wamefeli sana,na mpigaji wala hakuwa na utaalamu wowote maana alikaa shemu ya wazi tu.
 
Matukio yanapotokea kama ni mabaya ndio huwa tunajaribu kukosoa na hii ni kawaida ya binadamu kusema laiti ingekuwa hivi

Rais wetu aliefariki alikuwa na ulinzi wa hali ya juu ingawa mpaka leo hatujui ilikuwa inatumika shilling ngapi kumlinda kwa ule ulinzi lakini pamoja na helicopters juu na makomandoo mpaka wenye manati ili hata jolowe akikatishwa ashushwe kimya kimya bila kumbughudhi Rais

Ila aliondoka nae siku yake ilipofika
Kama siku ikifika hata wewe unaweza kufa kifala ila ni kifo tu haijalishi unalindwa Vipi

Japan wana sheria ngumu sana za bunduki na hiyo ilikuwa ni ya kutengeneza locally tu
Na hapo hata walinzi hawakutegemea kwa kuamini amani iliyopo na pia mda wake ulishafika na ikawa sababu
 
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.

Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.

Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
Mlinzi wa uhakika na kudumu ni Mwenyezi Mungu peke yake, upuuzi mwingine wowote ni batili tu! Kwani vifua vipana, mabunduki makubwa, minyororo ya magari makubwa, chopa na kadhalika, Magufuli Yuko wapi?! Minyoo na majivu tupu!
 
wamefeli sana,na mpigaji wala hakuwa na utaalamu wowote maana alikaa shemu ya wazi tu.

Kweli wamefeli na imekuwa surprise kwao
Ajali ya bunduki imetokea mara moja nchi nzima kwa mwaka mzima
Sio nchi ya violence kabisa
 
Hizi drama tu,hivi unaamini kabisa kuwa yule jamaa aliyem-shoot ni mwananzengo?Hao ni watu wa system,yaani wewe utoke kijijini kwenu Nanguruwe na Kukulia Nakapanya baadaye ukafanikiwa kusogea Nangurukuru akapanda basi la Buti la Zungu kuja Dar hatimaye,uje um-shoot Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kirahisi rahisi.Tuache utani top officials huwa wanapotezwa na system kama ilivyokuwa kwa Rais Kennedy wa Marekani.
 
Bahati nzuri aliyekuwa anapenda kusimama barabarani hayupo tena.

Maana miaka ile ungeweza kusikia
"Mpenzi mtazamaji wa TBC1 tunakatisha matangazo haya ili tujiunge na wenzetu waliopo Chattle ambapo Mtukufu anasalimiana na wananchi waliozuia msafara wake""
Tz huwa wanatumia Moshi unakumbuka Ruangwa kilichotokea
 
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.

Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.

Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
Kwa nini una wasiwasi kuwa inaweza kutokea shauri ya mikutano hiyo?

Kwani haiwezi kutokea sehemu zingine nyingi tu zilizopo?

Ungeeleweka kama ungeshauri wawe na kinga dhidi ya mashambulizi kama hayo hata wanapoingia vyooni na sehemu zozote waendako.

Hakuna kinga inayozuia kila kitu.
 
Matukio yanapotokea kama ni mabaya ndio huwa tunajaribu kukosoa na hii ni kawaida ya binadamu kusema laiti ingekuwa hivi

Rais wetu aliefariki alikuwa na ulinzi wa hali ya juu ingawa mpaka leo hatujui ilikuwa inatumika shilling ngapi kumlinda kwa ule ulinzi lakini pamoja na helicopters juu na makomandoo mpaka wenye manati ili hata jolowe akikatishwa ashushwe kimya kimya bila kumbughudhi Rais

Ila aliondoka nae siku yake ilipofika
Kama siku ikifika hata wewe unaweza kufa kifala ila ni kifo tu haijalishi unalindwa Vipi

Japan wana sheria ngumu sana za bunduki na hiyo ilikuwa ni ya kutengeneza locally tu
Na hapo hata walinzi hawakutegemea kwa kuamini amani iliyopo na pia mda wake ulishafika na ikawa sababu
'Sniper', mtu anakaa kilomita tano au zaidi, anatungua tu kama mchezo.
Afghanistan haya yalifanyika sana.
 
Back
Top Bottom