Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
'Sniper', mtu anakaa kilomita tano au zaidi, anatungua tu kama mchezo.
Afghanistan haya yalifanyika sana.
Hayo ni kawaida na hakuna wa kuzuia
Nimeangalia clip ya tukio Hilo la Abe
Walinzi hata kumsukumu hawakumlaza na yeye hakujiongeza kukaa chini
Maana muuwaji alikosa risasi ya kwanza
Huku Abe akiwa amezubaa tu na walinzi pia
Lakini kama mda ukifika ndio tunaona maajabu haya