Narudia kusema tena wewe ni Utopolo...ukielewa maana yake utajua tu.Mimi ni mshabiki wa Simba
kwani ulikiwa ukiona rais anaongea na wananchi wake waliomuajiri unajisikia kuhara??Bahati nzuri aliyekuwa anapenda kusimama barabarani hayupo tena.
Maana miaka ile ungeweza kusikia
"Mpenzi mtazamaji wa TBC1 tunakatisha matangazo haya ili tujiunge na wenzetu waliopo Chattle ambapo Mtukufu anasalimiana na wananchi waliozuia msafara wake""
Mlinzi wa uhakika na kudumu ni Mwenyezi Mungu peke yake, upuuzi mwingine wowote ni batili tu! Kwani vifua vipana, mabunduki makubwa, minyororo ya magari makubwa, chopa na kadhalika, Magufuli Yuko wapi?! Minyoo na majivu tupu!Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.
Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
Zitto alishasema mkazikwe nae chattlekwani ulikiwa ukiona rais anaongea na wananchi wake waliomuajiri unajisikia kuhara??
kitizama hilo na taarifa ya habari ya wamasai wavunjwa miguu kipi kinavutia?
wamefeli sana,na mpigaji wala hakuwa na utaalamu wowote maana alikaa shemu ya wazi tu.
Utajua wewekwani ulikiwa ukiona rais anaongea na wananchi wake waliomuajiri unajisikia kuhara??
kitizama hilo na taarifa ya habari ya wamasai wavunjwa miguu kipi kinavutia?
Tz huwa wanatumia Moshi unakumbuka Ruangwa kilichotokeaBahati nzuri aliyekuwa anapenda kusimama barabarani hayupo tena.
Maana miaka ile ungeweza kusikia
"Mpenzi mtazamaji wa TBC1 tunakatisha matangazo haya ili tujiunge na wenzetu waliopo Chattle ambapo Mtukufu anasalimiana na wananchi waliozuia msafara wake""
Kwa nini una wasiwasi kuwa inaweza kutokea shauri ya mikutano hiyo?Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.
Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
'Sniper', mtu anakaa kilomita tano au zaidi, anatungua tu kama mchezo.Matukio yanapotokea kama ni mabaya ndio huwa tunajaribu kukosoa na hii ni kawaida ya binadamu kusema laiti ingekuwa hivi
Rais wetu aliefariki alikuwa na ulinzi wa hali ya juu ingawa mpaka leo hatujui ilikuwa inatumika shilling ngapi kumlinda kwa ule ulinzi lakini pamoja na helicopters juu na makomandoo mpaka wenye manati ili hata jolowe akikatishwa ashushwe kimya kimya bila kumbughudhi Rais
Ila aliondoka nae siku yake ilipofika
Kama siku ikifika hata wewe unaweza kufa kifala ila ni kifo tu haijalishi unalindwa Vipi
Japan wana sheria ngumu sana za bunduki na hiyo ilikuwa ni ya kutengeneza locally tu
Na hapo hata walinzi hawakutegemea kwa kuamini amani iliyopo na pia mda wake ulishafika na ikawa sababu