Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
'Sniper', mtu anakaa kilomita tano au zaidi, anatungua tu kama mchezo.
Afghanistan haya yalifanyika sana.
Ni kweli mkuuDunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.
Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii katika mitandao yao ya kijamii
Unaifahamu kilometa Tano mkuu'Sniper', mtu anakaa kilomita tano au zaidi, anatungua tu kama mchezo.
Afghanistan haya yalifanyika sana.
Mpaka sasa record ya dunia ni 3kmUnaifahamu kilometa Tano mkuu
EeeeenHeeeee!!!Mbinu nyingine ni kuongeza safari za nje,
Hiyo itasaidia kupunguza kukutana na wanyonge wenye hasira za tozo.
Yaani kukosa ufahamu kwako, ndio iwe sababu ya mimi kutojua maana ya kilomita tano?Unaifahamu kilometa Tano mkuu
Manati kazini.Matukio yanapotokea kama ni mabaya ndio huwa tunajaribu kukosoa na hii ni kawaida ya binadamu kusema laiti ingekuwa hivi
Rais wetu aliefariki alikuwa na ulinzi wa hali ya juu ingawa mpaka leo hatujui ilikuwa inatumika shilling ngapi kumlinda kwa ule ulinzi lakini pamoja na helicopters juu na makomandoo mpaka wenye manati ili hata jolowe akikatishwa ashushwe kimya kimya bila kumbughudhi Rais
Ila aliondoka nae siku yake ilipofika
Kama siku ikifika hata wewe unaweza kufa kifala ila ni kifo tu haijalishi unalindwa Vipi
Japan wana sheria ngumu sana za bunduki na hiyo ilikuwa ni ya kutengeneza locally tu
Na hapo hata walinzi hawakutegemea kwa kuamini amani iliyopo na pia mda wake ulishafika na ikawa sababu
Yaani kukosa ufahamu kwako, ndio iwe sababu ya mimi kutojua maana ya kilomita tano?
Kama hujui, huwa siandiki kitu nisichokuwa na ufahamu juu yake. Hilo nililoandika hapo juu nina uhakika nalo.
Me nimekosa ufahamu lakn wewe umekosa Kitu Cha kutuaminisha kwamba sniper anaweza kukaa kilometa Tano na akamtungua MTU. Toa mifano Sio bla bla tu. Leo hii Kama sniper anaweza kukaa kilometa Tano na Bado akafanya Kazi yake nambie usalama wa viongoz Wetu utakuaaje? Hebu nifahamisheYaani kukosa ufahamu kwako, ndio iwe sababu ya mimi kutojua maana ya kilomita tano?
Kama hujui, huwa siandiki kitu nisichokuwa na ufahamu juu yake. Hilo nililoandika hapo juu nina uhakika nalo.
Duh,Me nimekosa ufahamu lakn wewe umekosa Kitu Cha kutuaminisha kwamba sniper anaweza kukaa kilometa Tano na akamtungua MTU. Toa mifano Sio bla bla tu. Leo hii Kama sniper anaweza kukaa kilometa Tano na Bado akafanya Kazi yake nambie usalama wa viongoz Wetu utakuaaje? Hebu nifahamishe
Nikupe mfano wa kuanzia: tafuta taarifa ya 'sniper' wa Canada walivyokuwa wakiwatungua mjahidini wa Afghanistan.Me nimekosa ufahamu lakn wewe umekosa Kitu Cha kutuaminisha kwamba sniper anaweza kukaa kilometa Tano na akamtungua MTU. Toa mifano Sio bla bla tu. Leo hii Kama sniper anaweza kukaa kilometa Tano na Bado akafanya Kazi yake nambie usalama wa viongoz Wetu utakuaaje? Hebu nifahamishe
Manati kazini.View attachment 2286194
Wewe unaionaje hiyo mbinu mkuu.EeeeenHeeeee!!!
Aiiiseeeee!
Mkuu 'stroke' siku hizi unavituko kwelikweli!
Kama ya Lisu ikageuka kuingia serikalini mtu mmoja hakuathiri chochoteFresh tuu hata wakiuana hakipungui kitu , Tanzania ina watu milion 60 , who care about one person loss
Kwani si hata huko wapo wanaoitwa 'Diaspora'; akina Mange, au wenyewe hatuwatilii shaka juu ya mambo haya?Wewe unaionaje hiyo mbinu mkuu.
Itabidi nikatazame tena 'source', kuhusu hili.Mpaka sasa record ya dunia ni 3km