Matukio yanapotokea kama ni mabaya ndio huwa tunajaribu kukosoa na hii ni kawaida ya binadamu kusema laiti ingekuwa hivi
Rais wetu aliefariki alikuwa na ulinzi wa hali ya juu ingawa mpaka leo hatujui ilikuwa inatumika shilling ngapi kumlinda kwa ule ulinzi lakini pamoja na helicopters juu na makomandoo mpaka wenye manati ili hata jolowe akikatishwa ashushwe kimya kimya bila kumbughudhi Rais
Ila aliondoka nae siku yake ilipofika
Kama siku ikifika hata wewe unaweza kufa kifala ila ni kifo tu haijalishi unalindwa Vipi
Japan wana sheria ngumu sana za bunduki na hiyo ilikuwa ni ya kutengeneza locally tu
Na hapo hata walinzi hawakutegemea kwa kuamini amani iliyopo na pia mda wake ulishafika na ikawa sababu