mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #121
Si ni sawa tu na mbowe kutumia maandamano na vurugu kutaka kuingia mdarakani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ni sawa tu na mbowe kutumia maandamano na vurugu kutaka kuingia mdarakani?
Mpaka ushahidi wote utakapokamilikaUtaendele mpaka lini?
Kwa akili yako duni ulidhani utekaji mnaofanya ni siri?Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Hakuna mwenye uhakika, wale wanaweza kuwa polisi kweli au majambazi au hata chademaKWANI Ally kibao, alishushwa kwenye Basi na mabeberu?
Hakuna siri, upelelezi unafanyika na utaleta majibu yote na tutajua ni nanai hasa waliohusikaKwa akili yako duni ulidhani utekaji mnaofanya ni siri?
Hata nguruwe ni wengi piayaani mbuzi ni wengi mnoo hii nchi.
Umekunywa uji uliochacha auSasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Hata chadema ni kikundi cha familia kabisaaaa au pengine kabila flani au dini flani tu,Ni kikundi kidogo sana kinafaidi keki ya Taifa.
Si ni sawa tu na mbowe kutumia maandamano na vurugu kutaka kuingia mdarakani?
Ndio maana yakusema uchunguzi ufanyike na chombo huru..Hakuna mwenye uhakika, wale wanaweza kuwa polisi kweli au majambazi au hata chadema
Ndio maana tusubiri uchunguzi kwanza
Kuna missada pia,kama hujui uliza viongozi wa CCMSio msaada ni mikopo na riba juu, zaidi zaidi wao ndio wanafaidika na rasilimali zetu tangu enzi na enzi
Mbona hujaeleza kitu? Ansila tukueleweSasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Aliwaaminisha ninyi kua anawapeleka puta.Tunawaweza bwashee, mbona anko aliwapeleka puta?
Kuweni makini msitukane watu hovyo
Kuwa mwangalifu utakuja kupata matatizo. Watu wanapokuwa wengi; hiyo tayari inakuwa ni silaha, hata kama wapo mikono mitupu!Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha.
Kabisa aiseeKuwa mwangalifu utakuja kupata matatizo. Watu wanapokuwa wengi; hiyo tayari inakuwa ni silaha, hata kama wapo mikono mitupu!
Mbona wengi tu wameelewa somo na wakaamua kufanya usafi badala ya fujo?Aliyekuagiza kwa watanzania mwambie hujawakuta,
Umekula ukashiba ukaona ujiropokee