Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Haki za binadamu ni zipi zinazokiukwa?? Wajitoe tu mbona wachina wapo.
Mkuu, hao wanaojiita watetezi wa haki za binadamu, wangezitekeleza kwao mimi ningewaelewa zaidi. Haki za binadamu zinavunjwa wazi wazi huko kwao na wana namna yao ya kuwadhibiti wale wanaowaona kuwa hatari kwenye anga zao... wanawaficha tuu!!. >>Nakumbuka mwaka 1994 nikiwa Copenhagen kuna dereva wa taxi alikataa kata kata kunihudumia mimi kama mwafrika, huo ni ubaguzi unaokiuka haki za binadamu na umekithiri sana huko huko kwao, iweje kwetu wadai haki za binadamu zinakiukwa?.
 
Unachekesha.
 
Nonsense, kwani wenyewe hawaoni eti hadi Zitto ndio awaambie. Mabalozi wanao wa nini sasa hapa.
 
Uko nje ya mada, mada ni nchi za magharibi kusitisha misaada sio uchaguzi.
Nje ya mada, au! Mleta mada na baadhi ya wachangiaji wanatupia lawama Serikali kama itanyimwa misaada. Nyuma ya mada hiyo ni siasa tupu, kuwa ingekuwa Serikali ya upinzani, hilo huenda lisingetokea. Hivyo nimerahisisha na kujumuisha hoja hizo kuwa upinzani usubiri 2020, haiko mbali.
 
Huyo dereva alipokataa uliripoti panapohusika nao wakakataa kukuhudumia.
 
Ingekuwa serikali ya upinzani? what do you mean.
 
Ningekuwa rais ningefukuza kibalozi cha Denmark [emoji1087] Sasa hivi
 
Yani kuna watanzania washenzi sana Hani yeye anapenda kupewa siku zote huu ni ulofa zaidi ya ule wa Sumaye.. Now lazima tu jitegemee kwa vyovyote vile
 
Ukipinga ushoga basi hupati misaada kuendeleza nchi yako, ila unaweza ukaua raia pemba, kudhulumu uchaguzi Zanzibar na misaada ukapata..... Mashoga ni muhimu kuliko demokrasia na haki za wengine....

Mtanzania Akili kichwani mwako, naona wengi wenu humu mumeanza kutetemeka kukosa misaada, mnataka kunambia kuwa mpo tayari kuchumishwa mboga upate pesa ya kununua IST?
 
Cc:Magonjwa Mtambuka
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Acha kuwa hela ya mama yako.. Fanya kazi upate hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…