Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Watu wengi humu wanahitaji tuukubaki mkataba wa ushoga kisa tu msaada ambao mtoaji hujiamlia kiasi anachowiwa kuwapa kulingana na masalia ya bajeti yake.

Hivi ni lini tutabadili fikra hizi mbovu zakutaka kubweteka hali tukitarajia msaada kutoka ughaibuni????

Ni heri tuishi kwa shiida huku tukitambua tunahitaji kufanya kazi kwa bidii na kwa maarifa yote tuliyopewa na Mwenyez Mungu kujiletea maendeleo yetu sote na sio hii misaada ambayo mwisho wake sasa imekua kutudharilisha kwa mgongo wa haki za kibinadamu.

Ushauri wangu kama taifa tusimamie kile tunachokiamin kuwa kwetu ni sawa na haki. Na sio kama ilivyo kwa wengi wetu humu kulialia kama wanawake kisa kuogopa maisha magumu.

TUFUNGENI MIKANDA KUPIGANIA UHURU NA MAADILI YETU KAMA NCHI.
 
Wafuata tu
 
Amen.
 
Ila mabalozi wetu sio majasusi?
 
"I am very concerned about the negative development in Tanzania. Most recently the totally unacceptable homophobic statements from a commissioner," Ms Tornaes said on Twitter.
"I have therefore decided to withhold DKK 65m in the country. Respect for human rights is crucial for Denmark."
Denmark is Tanzania's second biggest aid donor.
Ms Tornaes has also postponed a planned trip to the east African country, Danish broadcaster DR reported.

In a statement on EU-Tanzania relations, the European Council said it would "conduct a comprehensive review of its policies" towards the country.
Citing an "unprecedented attitude", the council renewed calls for "Tanzanian authorities to refrain from exerting undue pressure and limitations on diplomatic missions".
Higher Representative Federica Mogherini said there were deep concerns about "the deteriorating situation for LGBTI persons"
 
Also, I am very concerned about gay campaigns to our society
 
Kama haki za binaadamu zenyewe ni kukubali ushoga hatuwezi hilo waende tu.
 
Wahisani wanachangia 40% ya budget budget na budget iinatekelezwa 53%
Sasa 53%-40% budget itatekelezwa kwa13%
 
Yaani katika mazwazwa wa lumumba ambae ni zwazwa mkuu ni wewe
 
Unasumbuka sana, lakini unayoyategemea kutokea hayatatokea. Pole.
 
Mnaoichukia TANZANIA tunawakumbusha mtofautishe "MKOPO" na "MSAADA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…