- Thread starter
- #301
Wewe unaona sababu ni ushoga tu, short sighted.Kwa hiyo wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi mkono kinywani?? Are you serious? Je kuwa shoga ndiyo haki za binadamu Mtanzania? Hopeless.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaona sababu ni ushoga tu, short sighted.Kwa hiyo wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi mkono kinywani?? Are you serious? Je kuwa shoga ndiyo haki za binadamu Mtanzania? Hopeless.
Wafuata tuHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Amen.God is our refuge and strengh , a very present help in trouble.
Therefore we will not fear,though the earth be removed,and though the mountains be carried into the midst of the see.........
God is in the midst of her,she shall not be moved:God shall help her,and that right early.
The Lord of hosts is with us,the God of Jacob is our refuge.
haaaaaa amakweli ni swala.la.muda tu kila.kitu kimejipangaBashite katufungia bao ukawa, bado moja tunasawazisha.
Ila mabalozi wetu sio majasusi?View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Sawa! Ngoja tusubiri maana Jiwe alituambia nchi itakua donorKwahiyo wewe unapenda serikali inayo tegemea misaada hadi inaonesha wewe hadi mkeo unasaidiwa wewe
Kweli njaa haina adabu!Wewe unaona sababu ni ushoga tu, short sighted.
Also, I am very concerned about gay campaigns to our society"I am very concerned about the negative development in Tanzania. Most recently the totally unacceptable homophobic statements from a commissioner," Ms Tornaes said on Twitter.
"I have therefore decided to withhold DKK 65m in the country. Respect for human rights is crucial for Denmark."
Denmark is Tanzania's second biggest aid donor.
Ms Tornaes has also postponed a planned trip to the east African country, Danish broadcaster DR reported.
In a statement on EU-Tanzania relations, the European Council said it would "conduct a comprehensive review of its policies" towards the country.
Citing an "unprecedented attitude", the council renewed calls for "Tanzanian authorities to refrain from exerting undue pressure and limitations on diplomatic missions".
Higher Representative Federica Mogherini said there were deep concerns about "the deteriorating situation for LGBTI persons"
Kabla hujawaendea wachina kawaulize wazambiaHaki za binadamu ni zipi zinazokiukwa?? Wajitoe tu mbona wachina wapo.
Unasumbuka sana, lakini unayoyategemea kutokea hayatatokea. Pole.Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Yatokee yasitokee is nothing to me, mimi naendelea kula bata tu mtajuana nyie na donor countries wenu.Unasumbuka sana, lakini unayoyategemea kutokea hayatatokea. Pole.