Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Kwann wamtukane?,kuna tatizo ujalisema hapo mkuu,kumbuka mkeo angekuwa ana makosa ya wazi kama unavyoelezea hata ndugu zake wangekuwa upande wako.
Ahahahah.
Kaka unaijua "manipulation technique" inavyofanya kazi.?
Umeshawahi kusababisha aibu ambayo ikawa ni aibu ya familia kias ambacho ukaona kama hustahiki kusamehewa na hata ukionyeshwa msamaha unahis kama unategwa??
Ndio hii sasa..
 
Sawa sawa. Sikujua hilo kaka
ongea na hakimu endapo ili uone inarubusiwa au laa.....isingekuwa mnawatoto wengi ungeelekezwa uende mahakama ya wanyonge Nyasa .....apigwe pini kila alikutana na alizokuwa anawatumia picha za uchi akivua chupi tu awe anamwaga damu balaa... Hadi kifo chake rahisi sana hii kwa hawa washenzi
 
wewe hujamwelewa jamaa,halazimishi chochote,,jamaa kaamua ku2lia!!
Kwa jinsi nilivyomfuatilia tangu uzi wake wa mwanzo ni kuwa baada ya mvurugano mkewe ametaka taraka moja kwa moja isipokuwa yeye ndio anataka usuluhishi.....mkewe anafanya visa ili apewe taraka Yale.....kwa njia ya khiyari imeshindikana kwa ndio kaamua kwenda mahakamani.......

Jamaa anaonekana bado anampenda mkewe na ndio maana anapata tabu na anapata ugumu wa kutoa talaka
 
K
Wani wanawake wameisha mkuu?
 
Hizi za sasa ni kweli, unahitaji kuwaa makini sana.
Nyakati zimebadilika
Ila mkuu usikute na wewe kuna kitu unatuficha buana..Umesema ni mtu wa kusafiri,sio kwamba aligundua unam cheat sana na hata alivyoamua naye kutoka ilikua kama kisasi??

Hebu na wewe tuambie mapungufu yako kwake kwa kifupi maana mpaka anakubali akuzalie mtoto wa 1 mpaka wanne inaonyesha fika mlikua mmeshibana sana.
 
Hili jambo lako nalifuatilia tangu ule uzi WA kwanza.......

Wewe ungetakiwa wakati yeye anadai taraka usingehangaika na usuluhishi ungeenda moja kwa moja kwenye mchakato wa taraka.......wala msingefikia huku......

Mwanamke huwa hadai taraka au kuachana kwa bahati mbaya
 
Tatizo la ndoa huwa inavurugika mapema kabisa haya tunayoyaona huwa ni matokeo huenda hata ya visasi,
Ndoa zina changamoto tofauti kibaya zaidi kila mtu huongea Kwa upande wake ili aonekane ana haki
Japo hawa ke ndoa nyingi wanazivuruga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…