kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndio Toka mwakajuziShukrani, mahakama ya mwanzo pia mawakili wanaruhusiwa?
Maana hii kesi iko mahakama ya mwanzo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio Toka mwakajuziShukrani, mahakama ya mwanzo pia mawakili wanaruhusiwa?
Maana hii kesi iko mahakama ya mwanzo..
Sawa sawa. Sikujua hilo kakandio Toka mwakajuzi
Kwa kweliNapita Tu hayanihusu
Kwann wamtukane?,kuna tatizo ujalisema hapo mkuu,kumbuka mkeo angekuwa ana makosa ya wazi kama unavyoelezea hata ndugu zake wangekuwa upande wako.Tumeshakaa mpaka na wazee wake na wazee wangu kikao cha familia. Ndugu zake wakamtukana mzee wangu live live 😂
kikubwa pigania watoto wote wakubwa wawe mikononi mwako ....kuhusu mdogo kama yupo ,mahakama ikupe ikupangie visiting day na matumizi ,tafuta wakili anayejitambuaShukrani chief. Naamini nitamalizana nae week hii
wanaruhusiwa ndioShukrani, mahakama ya mwanzo pia mawakili wanaruhusiwa?
Maana hii kesi iko mahakama ya mwanzo..
Ahahahah.Kwann wamtukane?,kuna tatizo ujalisema hapo mkuu,kumbuka mkeo angekuwa ana makosa ya wazi kama unavyoelezea hata ndugu zake wangekuwa upande wako.
ongea na hakimu endapo ili uone inarubusiwa au laa.....isingekuwa mnawatoto wengi ungeelekezwa uende mahakama ya wanyonge Nyasa .....apigwe pini kila alikutana na alizokuwa anawatumia picha za uchi akivua chupi tu awe anamwaga damu balaa... Hadi kifo chake rahisi sana hii kwa hawa washenziSawa sawa. Sikujua hilo kaka
Kwa jinsi nilivyomfuatilia tangu uzi wake wa mwanzo ni kuwa baada ya mvurugano mkewe ametaka taraka moja kwa moja isipokuwa yeye ndio anataka usuluhishi.....mkewe anafanya visa ili apewe taraka Yale.....kwa njia ya khiyari imeshindikana kwa ndio kaamua kwenda mahakamani.......wewe hujamwelewa jamaa,halazimishi chochote,,jamaa kaamua ku2lia!!
Wani wanawake wameisha mkuu?Duuh.. Pole sana... huyo kesha rubuniwa... kwakuwa hajitambui nae kakubali kurubunika na kuharibu ndoa yake.... sasa, kwakuwa nimzoefu wa kuona visa vya namna hiyo... nakuhakikishia yafuatayo..
1. baada ya talaka, haitochukua muda mrefu, atakutafuta na kukuomba msamaha muyamalize. hiyo ni kwa sababu bwana mrubuni au mshauri akishaona ndoa imeharibika anakaa pembeni na ndo hapo atakapo ona dunia chungu maana hadi nduguze watamsimanga;
2. Akiona humduatilii ataenda kwa wazazi wako na kwa kasisi/sheikh wenu aliyewafungisha ndoa, akiamini huko ndo wataweza kulainisha moyo wako usahau ya nyuma na ugange yajayo...
3. Atakuwa kila siku akikupigia simu analia na kuomba msamaha huku akisema shetani alimpitia.. na wakati mwingine atakuja nyumbani kwako akishinda mlango huku akilia hivyo na majiriani wakimuangalia.. lengo la kufanya hivyo, umuonee huruma umsamehe.
sasa basi, akiwa anafanya hayo yote 1.wewe endelea kunyamaza hivyo hivyo... ali ajue kuwa, kuna baadhi ya vitu hapaswi kujaribu wala kunusa...
2. Hakikisha kwamba amejuta katika maisha ndipo hapo umsamehe... na ukimsamehe muweke katika uangalizi kwanza... (wala usiwe na tamaa Sanaa kushiriki nae tendo)
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, naomba ulete mrejesho hatua hii ikifika...
Ila mkuu usikute na wewe kuna kitu unatuficha buana..Umesema ni mtu wa kusafiri,sio kwamba aligundua unam cheat sana na hata alivyoamua naye kutoka ilikua kama kisasi??Hizi za sasa ni kweli, unahitaji kuwaa makini sana.
Nyakati zimebadilika
Hili jambo lako nalifuatilia tangu ule uzi WA kwanza.......Sijamganda chief, kikristo huwez toa tu talaka man, ninlazima shauri liwe filed mahakama, na ndio hatua ilipofika na mimi nimeitwa huko week hii na ndiko nitamalizanannae, ndio maana sikuona sababu wala sikua na mazingira ya ku bargain nae chochote.
Na kwakua sipend matatizo nilishahama mkoa, mbona uzi unajieleza mkuu?
Yeye kaamua kunikomoa kwa vyombo vya sheria, na sheria ina utaratibu wake na mimi ambao najitahid ku comply tuyamalize haya peacefully apate anachotaka
Kutafuta suluhu sio mbaya ila sio kwa kiwango hicho mkuuAhahahah.
Ni kwel maisha ni matamu. Ila si unajua, hatua ya kwanza ni muhimu kujaribu kutafuta suluhu kwanza. Ikishindikana basi unampa tu anachotaka
Na sijui kwanini huwa hatujifunz kwa wenzetu yanaowatokea puaniMume mpya, mwanamke akipata mdanganyifu mpya huwa anakufa anaoza, japo huwa hayadumu
hio familia ina pepo la umasikini,kimbia tu usiambukizwe.Sijajua ni nini, ila ninao wafahamu wakio nyuma yake ni familia yake nzima, wamesema kabisa nyumba lazima iuzweee. Wao wenyewe kiukwel maishanyao yanaria huruma sana sasa sijui kwann wanamfanyia mdogo wao kitu hiki
mkuu ukiwa jobless uta elewa thamani ya kile ulicho nacho, na uki piga hesabu uli kipata vipi lazima usikie hasira.Majobless mna kauli nzito