Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Bahati mbaya ni kwamba vita haitasimama.
Isimame isisimame, Mwarabu hawezi kuiondosha Israel pale.Walitaka kuiondosha tangu 1948 ila sasa Waarabu hawapigani kuiondosha Israel tena bali wanataka watambuliwe nao kama Taifa huru. Kwi kwi kwiiii 🤣.

Mwarabu hana uwezo juu ya Israel ndo maana Israel itaendelea kuwepo pale sana tu.
 
Warabu wapo bega kwa bega na Israel au huoni? Hapo ni wapalestina wanapambania nchi Yao hakuna mwarabu anaemsaidia mpalestina zaidi ya Yemen na Lebanon wengine wote waliobaki malofa tu
 
Warabu wapo bega kwa bega na Israel au huoni? Hapo ni wapalestina wanapambania nchi Yao hakuna mwarabu anaemsaidia mpalestina zaidi ya Yemen na Lebanon wengine wote waliobaki malofa tu
Malofa sababu wanatambua mziki wa israel.....hao wengine waendelee hivyo hivyo Iran atawasaidia tu......hadi wale magaidi wa huku Africa wakomae tu Iran atawasaidia
 
Malofa sababu wanatambua mziki wa israel.....hao wengine waendelee hivyo hivyo Iran atawasaidia tu......hadi wale magaidi wa huku Africa wakomae tu Iran atawasaidia
Wapalestina Bado wanapambania nchi Yao hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…