Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kwahiyo Yanga unataka waweke tamasha wakat ambapo hata msiba haujahitimishwa?Yeyote anae kumbuka ama alikuwepo enzi za manji lazima aumizwe na kifo cha yule mwamba mm mwenyewe ni simba ila manji alifaa apewe maua yake..Yanga mmesahau mlikua mnaitwa omba omba manji mpaka anawalipia kadi za uwanachama na mechi nyingine ananunua tiketi zote muingie bureee leo hata kufanya tamasha la kumuenzi mmeshindwa fakeni kabisa nyie ..watu wanafiki sana mmeonesha uswahili wa hali ya juu mbuzi nyie.....inauma sana nikikumbuka amsha amsha za Manji mara awapeleke uturuki wachezaji ahaaa#$$%#$
Amen darling, asante.Wamekosea viongozi, hata kama walikuwa wametofautiana. Watu ikitokea mauti huungana. Ameshatangulia, haitawapunguzia chochote kwenye biashara zao.
Manji ni Yanga na Yanga ni Manji, alitutoa shimoni baba wa watu. Tunamuombea apumzike mahala pema, peponi. Amina.
Asante.Yeyote anae kumbuka ama alikuwepo enzi za manji lazima aumizwe na kifo cha yule mwamba mm mwenyewe ni simba ila manji alifaa apewe maua yake..Yanga mmesahau mlikua mnaitwa omba omba manji mpaka anawalipia kadi za uwanachama na mechi nyingine ananunua tiketi zote muingie bureee leo hata kufanya tamasha la kumuenzi mmeshindwa fakeni kabisa nyie ..watu wanafiki sana mmeonesha uswahili wa hali ya juu mbuzi nyie.....inauma sana nikikumbuka amsha amsha za Manji mara awapeleke uturuki wachezaji ahaaa#$$%#$
Kumbe hata huelewi? Leo ndio familia wamehitimisha msiba, hakutakuwa na shughuli nyingine za msiba wa Manji tena. Ndio maana ya kusomewa dua iliyosomwa leo.Kwahiyo Yanga unataka waweke tamasha wakat ambapo hata msiba haujahitimishwa?
Unayajua mawazo ya viongozi kuwa hawana tena cha kufanya kwa Manji?
Sielewi nini? Huyo anazungumzia Yanga kuweka tamasha. Yaani muweke tamasha kati kati ya msiba?Kumbe hata huelewi? Leo ndio familia wamehitimisha msiba, hakutakuwa na shughuli nyingine za msiba wa Manji tena. Ndio maana ya kusomewa dua iliyosomwa leo.
Ushiriki wao tu shida ilo tamasha watalifanyia wapi sis ni watani wa jadi ila kwenye ukweli tunaambiana....yangaaa mmezingua sana.Kwahiyo Yanga unataka waweke tamasha wakat ambapo hata msiba haujahitimishwa?
Unayajua mawazo ya viongozi kuwa hawana tena cha kufanya kwa Manji?
Unaandaaje tamasha in a week?Ndio, tamasha la kumuenzi.
Uliwahi kusikia wapi tamasha la msiba?Kumbe hata huelewi? Leo ndio familia wamehitimisha msiba, hakutakuwa na shughuli nyingine za msiba wa Manji tena. Ndio maana ya kusomewa dua iliyosomwa leo.
Mimi sio yanga. Lakini sioni sababu ya kufanya tamasha katikati ya msiba. We uliwahi kusikia wapi tamasha kwenye msiba?Ushiriki wao tu shida ilo tamasha watalifanyia wapi sis ni watani wa jadi ila kwenye ukweli tunaambiana....yangaaa mmezingua sana.
Ww hujui sina maana tamasha ka mziki wanaweza fanya hata tamasha la heshima kwa ajiri ya manji maana ushiriki wao ulikua hafifu kwenye msiba na kumbuka yanga ina mashabiki wengi huwezi fanya jambo kama hilo likawa dogo lazima liwe kama tamasha.Harafu mm sio masikini nimeshajitafuta nikajipata long time.Mimi sio yanga. Lakini sioni sababu ya kufanya tamasha katikati ya msiba. We uliwahi kusikia wapi tamasha kwenye msiba?
Halafu mna viherehere utadhani nyie ni ndugu wa Manji.
Masikini bwana.
Unyama Madam 🫂Mi mbona mstaarabu jamani? Inategemea umekujaje.
Anyways, cheers.
Umejipata nini na hujui kutofautisha R na L? Huko shule ulienda kujifunza nini?Ww hujui sina maana tamasha ka mziki wanaweza fanya hata tamasha la heshima kwa ajiri ya manji maana ushiriki wao ulikua hafifu kwenye msiba na kumbuka yanga ina mashabiki wengi huwezi fanya jambo kama hilo likawa dogo lazima liwe kama tamasha.Harafu mm sio masikini nimeshajitafuta nikajipata long time.