Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hawa viazi watakuumiza kichwa bure.Hata kule zambia vichwa ngumu walikuwa wanasema kama wewe lkn mwisho wake sasa hivi uwanja wa ndege siyo mali yao tena na zesco ipo chini ya futi 4
Juzi crush wa bashite si kasema jamaa masharti yao mazuriiiii.
Yani kweli hata km mtu ana akili za kuazima atawezaje kusema wachina wana misaada mizuri.
Ili hali kabla ya kizazi chetu kupita watakuwa wameshachukua strategic nyingi sana za Africa.
Cha kufanya huko mbeleni ni kubadilisha katiba na wale wote walioleta ujinga wananyongwa kwa kamba.
Kama mtu alishakufa tunafukua na kumchoma.