IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Sio moro tu mpaka Dodoma Rafiki yangu ashaenda hata buku hakutoa. Tengenezeni smart card za ku swipe bila hivyo mtaibiwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchezo uleule kama ilivyo BRT, bila kubinafsisha haya mambo hatuyawezi.TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.
Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;
"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.
Chanzo: ITV Habari
My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Waweke mfumo wa mwendokasi kama ule wa zamani unascan tiketi unavyoingia unascan unavyotokaDAH HIII MICHEZO IMEPIGWAA SANA TRENI YA PUGUUUU
HAWA MWAMBAA WANACHEKECHA MPAKA SGR AISEE WANA MPYO NA HII CHANNEL N NDEFU SANAAA
USHAURI HATA HAO INSP N BNADAMU M NAKUMBUKA KUNA BASI MOJA LA KWENDA MOSHI..WALIWEKA INSP KWENYE VITUO KADHAA SAME
SASA GARI IIKIFIKA
WAO WAKIFIKA WANAINGIA WANAHESABU WATU..LAKN SIKU ZINAVYOENDELEA AKIINGIA ANAHESABU WA MBELE
KIFIKA MLANGON ANASHUKA NA KONDOKA
.....MEIISHA HIOO...
Kamba yako TU! Watu wanapiga mabilioni Sasa wewe elfu kadhaa TU?Moro kwa buku 🤣🤣
Kila mtu na kamba yake.
Ukilionea huruma shamba la bibi, jua wajukuu wenzio wanalitafuna tu.Kamba yako TU! Watu wanapiga mabilioni Sasa wewe elfu kadhaa TU?
Huyo Kamanda wa Takukuru hafai kuwepo kwenye hiyo nafas yaani ameongea kama vile mtu asiyekuwa na mamlaka, kwanza ilitakiwa wakamatwe wahusika ndio jambo lizungumzwe.TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.
Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;
"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.
Chanzo: ITV Habari
My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Mbn ndani ya hizo behewa kuna TT wanapitaga kukagua tiketi..!!.km nauli uliolipa inaendana na safari yako.TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.
Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;
"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.
Chanzo: ITV Habari
My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Ndio maana TAKUKURU wameingilia kati. Watu hawajiulizi TAKUKURU na kutokulipa nauli wapi na wapi. Huyo kamanda wa TAKUKURU hajataka kuwachana moja kwa moja hao TT kwamba wanachukua rushwa. Mtu kalipa buku, zingine wanaweka mifukoni mwao!Mbn ndani ya hizo behewa kuna TT wanapitaga kukagua tiketi..!!.km nauli uliolipa inaendana na safari yako.
Inaama hakuna smart card.Sio moro tu mpaka Dodoma Rafiki yangu ashaenda hata buku hakutoa. Tengenezeni smart card za ku swipe bila hivyo mtaibiwa sana.
Hata nyumbani kwako, ikitokea ukaacha wazi mlango, watakuja tu wa kukuibia siku moja. TRC walipaswa kuliona hili kabla, kuliko kuja kulia lia.TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.
Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;
"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.
Chanzo: ITV Habari
My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Halafu wasikilize wanavyolaumu viongozi wao wakati ni pipa na mfuniko.Tanzania tuna tatizo la malezi.
Watu hawana maadili.
Ukisema maadili, watanzania wengi watafikiria ni kuvaa nguo ndefu, kusalimia shikamoo na kutotumia lugha za matusi.
Lakini hatusisitiziwi kuwa waaminifu, wachapakazi, wenye bidii, wawajibikaji, wazalendo n.k
Haya ndiyo maadili sasa!
Kama malezi yetu hayatabadilika, tutaendelea kuwa taifa la watu wa hovyo kwa muda mrefu sana.
Ndio sababu TAKUKURU kuingilis. Maanake kuna TT wanakamata hao watu halafu wanachukua rushwa wanawaachia.Mbn ndani ya hizo behewa kuna TT wanapitaga kukagua tiketi..!!.km nauli uliolipa inaendana na safari yako.
Nmekuelewa issue itakua kwa wale TT..wanapitaga na vimachine vya kulipishia additional fair.kumbe hamna kituNdio maana TAKUKURU wameingilia kati. Watu hawajiulizi TAKUKURU na kutokulipa nauli wapi na wapi. Huyo kamanda wa TAKUKURU hajataka kuwachana moja kwa moja hao TT kwamba wanachukua rushwa. Mtu kalipa buku, zingine wanaweka mifukoni mwao!
Walifanyie kazi wazo hiliSi watenge mabehewa. Yajulikane namba Moja na namba mbili ni Moro, tatu na nne ni Dodoma