Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

Tanzania tuna tatizo la malezi.
Watu hawana maadili.

Ukisema maadili, watanzania wengi watafikiria ni kuvaa nguo ndefu, kusalimia shikamoo na kutotumia lugha za matusi.

Lakini hatusisitiziwi kuwa waaminifu, wachapakazi, wenye bidii, wawajibikaji, wazalendo n.k
Haya ndiyo maadili sasa!

Kama malezi yetu hayatabadilika, tutaendelea kuwa taifa la watu wa hovyo kwa muda mrefu sana.
 
TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.

Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;

"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.

Chanzo: ITV Habari

My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Ni mchezo uleule kama ilivyo BRT, bila kubinafsisha haya mambo hatuyawezi.
 
DAH HIII MICHEZO IMEPIGWAA SANA TRENI YA PUGUUUU

HAWA MWAMBAA WANACHEKECHA MPAKA SGR AISEE WANA MPYO NA HII CHANNEL N NDEFU SANAAA

USHAURI HATA HAO INSP N BNADAMU M NAKUMBUKA KUNA BASI MOJA LA KWENDA MOSHI..WALIWEKA INSP KWENYE VITUO KADHAA SAME

SASA GARI IIKIFIKA
WAO WAKIFIKA WANAINGIA WANAHESABU WATU..LAKN SIKU ZINAVYOENDELEA AKIINGIA ANAHESABU WA MBELE
KIFIKA MLANGON ANASHUKA NA KONDOKA
.....MEIISHA HIOO...
Waweke mfumo wa mwendokasi kama ule wa zamani unascan tiketi unavyoingia unascan unavyotoka
 
TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.

Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;

"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.

Chanzo: ITV Habari

My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Huyo Kamanda wa Takukuru hafai kuwepo kwenye hiyo nafas yaani ameongea kama vile mtu asiyekuwa na mamlaka, kwanza ilitakiwa wakamatwe wahusika ndio jambo lizungumzwe.
 
TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.

Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;

"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.

Chanzo: ITV Habari

My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Mbn ndani ya hizo behewa kuna TT wanapitaga kukagua tiketi..!!.km nauli uliolipa inaendana na safari yako.
 
Ndio maana TAKUKURU wameingilia kati. Watu hawajiulizi TAKUKURU na kutokulipa nauli wapi na wapi. Huyo kamanda wa TAKUKURU hajataka kuwachana moja kwa moja hao TT kwamba wanachukua rushwa. Mtu kalipa buku, zingine wanaweka mifukoni mwao!
 
TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.

Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;

"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.

Chanzo: ITV Habari

My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Hata nyumbani kwako, ikitokea ukaacha wazi mlango, watakuja tu wa kukuibia siku moja. TRC walipaswa kuliona hili kabla, kuliko kuja kulia lia.

Ova
 
Tanzania tuna tatizo la malezi.
Watu hawana maadili.

Ukisema maadili, watanzania wengi watafikiria ni kuvaa nguo ndefu, kusalimia shikamoo na kutotumia lugha za matusi.

Lakini hatusisitiziwi kuwa waaminifu, wachapakazi, wenye bidii, wawajibikaji, wazalendo n.k
Haya ndiyo maadili sasa!

Kama malezi yetu hayatabadilika, tutaendelea kuwa taifa la watu wa hovyo kwa muda mrefu sana.
Halafu wasikilize wanavyolaumu viongozi wao wakati ni pipa na mfuniko.
 
Ndio maana TAKUKURU wameingilia kati. Watu hawajiulizi TAKUKURU na kutokulipa nauli wapi na wapi. Huyo kamanda wa TAKUKURU hajataka kuwachana moja kwa moja hao TT kwamba wanachukua rushwa. Mtu kalipa buku, zingine wanaweka mifukoni mwao!
Nmekuelewa issue itakua kwa wale TT..wanapitaga na vimachine vya kulipishia additional fair.kumbe hamna kitu
 
Kwani hakuna wakaguzi ndani ya treni?
Hawakujua kuwa wizi na uongo ni jadi yetu
Kwanini wasiliweke katika sheria zao za kulinda treni
Tuna treni kabla hata ya Uhuru na wizi wa kukwepa kulipa ulikuwepo eti leo mmasema watu hawalipi

Kuna upigaji waseme ukweli
Kwani kuna wasafiri wangapi kwa siku kwenye treni moja washindwe kuwauliza tickets?
Naomba anaejua afafanue hili
 
Back
Top Bottom