Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ni mwizi ni nafasi tuu wengine hawajapata
Sasa tiketi ya usafiri tuu wanadanganya 😆 akipewa wizara alafu mtu kama huyu unakuta anapiga makelele ufisadi
Bila kupepesa macho, hii ndio tabia yetu, hata mimi kuna muda najihisi naiba hata kama nachukua kitu changu mwenyeweKila mtu ni mwizi ni nafasi tuu wengine hawajapata
Vipi kama moro kuna abiria wa kujaza mabehewa nusu tuu na Dodoma ni wengi kuliko mabehewa yaliyopo? Nafikiri kuna very simple technology ya kuendesha hili train kwa ufanisi mkubwaSi watenge mabehewa. Yajulikane namba Moja na namba mbili ni Moro, tatu na nne ni Dodoma
Mambo kama haya ndio mana muhindi huwa hataki mazoea kwenye biashara zakeMoro kwa buku 🤣🤣
Kila mtu na kamba yake.
TAKUKURU imeshindwa ku deal na mapapa yaliyotajwa na CAG yanakimbizana na MTU aliyelipa elfu nane badala ya kumi.Hiyo sio kazi ya takukuru
😀😀😀 Hapo kwa Kabudi nimekuelewa sanaWakitaka kudhibiti ni mara moja tu, kuna njia nyingi sana za kudhibiti hilo. Hawataki tu.
WQatanzania kila poambe tu wajinga sana. Nasema siku zote tatizo la Tanzania sio umasikini, ni ujinga. Usione mtu ana mbwembwe kama Kabudi ukadhani hana ujinga, ni jinga bobevu tu.
Na yasipojaa abiria wa vituo hivyo behewa liende tupu?Si watenge mabehewa. Yajulikane namba Moja na namba mbili ni Moro, tatu na nne ni Dodoma
Yote kwa pamoja..!My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?
Nadhani watapita nakusoma maoni yako ila kuongezea kidogo ni rahisi pia kujuwa kwa numbers lakini kwanza wangeanza.Tatizo Hawa wanaendesha shirika kwa mfumo ule ule wa zamani watu anayeitwa TT Kukagua ticket
🇮🇱. Watenge mabehewa ya Kila Kituo
🇮🇱 Booking zote zifanyoke online kwa app ya kisasa
🇮🇱 Hiyo app itenge Vituo, madaraja , behewa na siti
🇮🇱 Chati ziwe online na ukishalipia itsonyesha na utakuwa na e ticket ambayo iytaonyesha behewa, na siti yako na Kituo. Hakuna haja ya kufika vituoni
Kwa kweli ni kituko,TRC wana polisi kila kituo hii ndio kazi yao,sio TakukuruTAKUKURU imeshindwa ku deal na mapapa yaliyotajwa na CAG yanakimbizana na MTU aliyelipa elfu nane badala ya kumi.
Sasa kwani nini wanaifanya??Hiyo sio kazi ya takukuru
Tiketi ziwe na rangi tofautiTatizo Hawa wanaendesha shirika kwa mfumo ule ule wa zamani watu anayeitwa TT Kukagua ticket
🇮🇱. Watenge mabehewa ya Kila Kituo
🇮🇱 Booking zote zifanyoke online kwa app ya kisasa
🇮🇱 Hiyo app itenge Vituo, madaraja , behewa na siti
🇮🇱 Chati ziwe online na ukishalipia itsonyesha na utakuwa na e ticket ambayo iytaonyesha behewa, na siti yako na Kituo. Hakuna haja ya kufika vituoni
Au tiketi zenye rangi tofautiWaweke mfumo wa mwendokasi kama ule wa zamani unascan tiketi unavyoingia unascan unavyotoka
Sema tatizo mkaguzi wa hizo tiketi rangi anaweza kutupiga ila mfumo wa kielectronic ni ngumuAu tiketi zenye rangi tofauti