Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

Mbona kuzuia ni rahisi tu.

Mfano kila behewa linakuwa na wasimamizi wawili wanaotakiwa kuwajibika Kwa kila kitu kinachotokea kwenye behewa hilo na kutoa taarifa kila siku.

1. Kila siku kwenye behewa lake kaondoka na abiria wangapi, siti zipi wanashukia wapi, abiria wangapi wanapandia njiani na katika vituo gani na wanashukia wapi.

Au kazi za wale wahudumu ni nini mle ndani?

Ni uzembe tu
Au kuna hujuma zinazoweza kuwa zinahusisha wafanyakazi wa shirika.
 
Wakitaka kudhibiti ni mara moja tu, kuna njia nyingi sana za kudhibiti hilo. Hawataki tu.

WQatanzania kila poambe tu wajinga sana. Nasema siku zote tatizo la Tanzania sio umasikini, ni ujinga. Usione mtu ana mbwembwe kama Kabudi ukadhani hana ujinga, ni jinga bobevu tu.
 
😀😀😀 Hapo kwa Kabudi nimekuelewa sana
 
Tatizo Hawa wanaendesha shirika kwa mfumo ule ule wa zamani watu anayeitwa TT Kukagua ticket

🇮🇱. Watenge mabehewa ya Kila Kituo

🇮🇱 Booking zote zifanyoke online kwa app ya kisasa

🇮🇱 Hiyo app itenge Vituo, madaraja , behewa na siti

🇮🇱 Chati ziwe online na ukishalipia itsonyesha na utakuwa na e ticket ambayo iytaonyesha behewa, na siti yako na Kituo. Hakuna haja ya kufika vituoni
Nadhani watapita nakusoma maoni yako ila kuongezea kidogo ni rahisi pia kujuwa kwa numbers lakini kwanza wangeanza.
1- Train ya kwenda Dom kituo cha kwanza kusimama ni Moro sio hivi vituo sijui Pugu au Soga hivi covered na Train ya Moro. Train ikiondoka kwenye list yao wanajuwa kabisa ticket ngapi za Moro na seat number ikifika Moro wana check seat. Hapa watajuwa abiria wangapi wanapanda wa Dom na vituo vya Moro to Dom. seat number zinajulkana.

2- Baada ya kituo cha mwisho kabla ya kuingia Dom wana scan ticket au kucheck au kuhesabu na kujuwa ticket za Dom zilizouzwa ni sawa na abiria ndani kama wanavyofanya ndege. Sheria kila mtu akae kwenye seat yake hili nalo itakuwa rahisi zaidi kujuwa seat fulani ni abiria anashuka Moro ni rahisi kujuwa kwa kupokea taarifa za tickets.

3- Option ya tatu behewa 2 hivi zingetengwa kwa abiria wanaoshuka vituo vya njiani tu na hilo ni rahisi ukiwa na mfumo kwenye ticketing akikata tu akiweka sehemu anayoshukia automatic inampa selection seat kwenye behewa zilizotengwa tu na mabehewa mengine ni watu wanaoshuka vituo vikubwa vya mwisho.
 
Tatizo Hawa wanaendesha shirika kwa mfumo ule ule wa zamani watu anayeitwa TT Kukagua ticket

🇮🇱. Watenge mabehewa ya Kila Kituo

🇮🇱 Booking zote zifanyoke online kwa app ya kisasa

🇮🇱 Hiyo app itenge Vituo, madaraja , behewa na siti

🇮🇱 Chati ziwe online na ukishalipia itsonyesha na utakuwa na e ticket ambayo iytaonyesha behewa, na siti yako na Kituo. Hakuna haja ya kufika vituoni
Tiketi ziwe na rangi tofauti
 
Back
Top Bottom