Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

Yaani wewe jamaa leo umeleta mada njema sana.

Nimegonga YouTube kile ninachokipenda, vimeshushwa tutorial videos hapa, huwezi amini!! Nataka nikomaye mpaka kieleweke.
Ubarikiwe.
 
kwa kweli komaya mpaka kieleweke
Yaani wewe jamaa leo umeleta mada njema sana.

Nimegonga YouTube kile ninachokipenda, vimeshushwa tutorial videos hapa, huwezi amini!! Nataka nikomaye mpaka kieleweke.
Ubarikiwe.
 
Dah umeacha programming? Mimi mwenyewe najuata kwa nini sikusoma programming mwanzoni watu wanapiga hela.
 
Dah umeacha programming? Mimi mwenyewe najuata kwa nini sikusoma programming watu wanapiga hela.
Jamaa yangu, kupiga hela ni mpaka kidole cha shahada cha mwingine. Maana yangu, mtu akufahamu kwanza halafu akuunganishe kwa wahitaji. Vinginevyo utanufaisha watu tu.
 
Husiogope komaa vitu vina eleweka mimi mwaka huu namalizana na Python,mwakani nahamia Go.
Sawa mkuu, mimi bado najifunza front end sasa hivi, nikimaliza front end na anza back end. Na language nitakayo jifunza kwa back end ni Node.
 
Dah umeacha programming? Mimi mwenyewe najuata kwa nini sikusoma programming mwanzoni watu wanapiga hela.
Kama focus yake hela umeisha fail. Programing inategemea una mfanyia nani, na sasa hivi zipo auto tools kibao zinarahisi kazi ya programing.. kila kitu kina hela inategemea una mfanyia nani na kina enda wapi
 
Mkuu naomba mwongozo nina dogo anamaliza olevel mwaka huu anapenda sana haya mambo, naomba nishauri apige course/certification zipi kwa kuanzia hataki kwenda advance yeye pia ni mtundu wa computer. Physics na number ni mzima pia. Nashukuru
Yeye binafsi kwenye huo uwanja wa computer anapendelea career ipi?
 
Huyo ameongelea General.. ila mie programing nilikuwa mwiba na security nilikuwa fimbo.. nili balance.. but tanzania ilinivunja moyo nimeacha kabisa.. haya makitu.. nalima tu sasw hivi
Pole..,pole sana! Mimi security niliionyooshea mikono nikaachana nayo baada ya kuuliza mchakato wake mzima kwenye forum fulani ya kimarekani.
Sasa hivi nimehamia kwenye kitu kingine kabisa.Wewe kipi kilipelekea ugive up?
 
Kaka, ujumbe wako nimeupenda sana, Mungu akubariki!! Umrnitia moyo mno mimi software developer, ntakufwata inbox!! [emoji4]
 
Pole..,pole sana! Mimi security niliionyooshea mikono nikaachana nayo baada ya kuuliza mchakato wake mzima kwenye forum fulani ya kimarekani.
Sasa hivi nimehamia kwenye kitu kingine kabisa.Wewe kipi kilipelekea ugive up?
Uswahili uswahi wa bongo mkuu.. kuna sehemu nilikuwà nafanya kazi, alafu kiswahi kinakuwa kingi.. kilicho uma zaidi nilikuta report zangu zinatumika alafu hawanipi hata mia
 
Na yote hayo ni kwasababu ya udhaifu wa serikali ya ccm.

Wao wanajua kugawiana vyeo tu hata kwa watu wasio na skills zozote wanaacha watu wenye skills wakiuza mandazi na USB kama alivyosema Pancho boy.

Hatuwezi kutegemea Magufuli afanye kila kitu mfumo wa utawala ni mbovu wa kubebana bebana na yote haya ni kwa sababu ya ccm.
 
Mtaalam nitumie reference nianze kusoma mwenyewe online. Mda mwingine unajikuta huna kazi usiku alafu mb zimejaa kwenye sim zinapotea kwa kusoma ujingaujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…