joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unasoma kitu gani?Mtaalam nitumie reference nianze kusoma mwenyewe online. Mda mwingine unajikuta huna kazi usiku alafu mb zimejaa kwenye sim zinapotea kwa kusoma ujingaujinga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasoma kitu gani?Mtaalam nitumie reference nianze kusoma mwenyewe online. Mda mwingine unajikuta huna kazi usiku alafu mb zimejaa kwenye sim zinapotea kwa kusoma ujingaujinga tu.
Mkuu naomba niku PM kuna kitu nataka tuwasilianeNakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.
Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.
Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.
Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miaka miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
Ok nakusubiri.Mkuu naomba niku PM kuna kitu nataka tuwasiliane
Mkuu wewe na Drone Camera hizi mambo za Cyber Security mpo vizuri sana.Mkuu sio general. Mie by Pro.. ni Mechanical Eng, nina Bacheraol ya IT na nina PGD ya Electrical.. na ni certified Penetration Tester.. programing nilikuwa najua zaidi hata ya ma programer. Kwenye field ya Security nilikuwa nawalaza na ukija kwenye programing na kulaza.. sema now days nimeacha vyote niliona upumbavu nanufaisha watu
Mkuu wewe na Drone Camera hizi mambo za Cyber Security mpo vizuri sana.
Kwa level uliyofikia inabidi upige Marine Cyber Security hii ngoma hapa Bongo haina ishu na hata Bandari,Tasac,Shipping Line hazina watalaamu hawa wao mtu wa IT anatosha.
Kwa umahiri uliokuwa nao ukipiga hiyo marine cyber security na ukawa certified wewe utatafutwa ufanye kazi na kampuni kubwa za meli(Shipping Line).
Ulaya watu waliingia kwenye mifumo ya bandari,meli na makampuni ya shipping line wakaweka jam na ku hack system kisha wakawa wanalipwa na mapapa kupitisha mizigo haramu.Bandari ya Antwerp Ubelgiji watu walichezea mpaka mifumo ya kuongozea meli na bandari ikapita.
Baada ya hapo Shirika linalo simamia masuala ya bahari duniani (IMO) likaja na muongozo wa kusimamia Marine Cyber Security na athari zitokanazo na teknolojia ya mtandao kuepusha mifumo ya meli,bandari kulindwa na hackers.
Nimeandika mbio mbio kama sijaeleweka ngoja nikimbizane na bwanyenye anipe dinari yangu ya kutwa, nikitulia nitaweka mzigo wote mezani.
Mkuu ukifungua kampuni yako jitahidi upige na Marine Cyber Security. Kwenye kazi zako usisahau kufanya Marine Cyber Security huku Afrika mifumo yetu tunaiamini kisa ni teknolojia ya Israel,Marekani au Urusi.Hiyo naweza fanya, ila kwa sasa hivi kwa kipato ninachopata kwa mwezi, hakuna mwajiri wa kunilipa. Lengo langu kwa sasa kuna vitu najijenga ili badae nije kuwa na department maalumu itayo kuwa ina deal na Cyeber security kuanzia level ya chini kabisa hadi juu.. lakini sio kuajiriwa nahisi nishatoka kwenye hiyo level mkuu. Ila field ya Marine ilikuwa naipenda sana ilibaki kidogo sana badala ya kufanya Mechanical nilitaka kufanya marine ninge add na advantage ya IT na ya umeme na kupiga course zao zile nahisi ningekuwa mtu mzito kwenye hiyo nyanja
Mkuu ukifungua kampuni yako jitahidi upige na Marine Cyber Security. Kwenye kazi zako usisahau kufanya Marine Cyber Security huku Afrika mifumo yetu tunaiamini kisa ni teknolojia ya Israel,Marekani au Urusi.
Kwenye kuilinda bado sana na Africa hatujapata hackers waliopiga tukio kwenye mifumo ya bandari au shipping lines. Hii mifumo tuliyonayo wazungu huko walipigwa na hackers mpaka wakaja na sheria ya kujikinga na Marine Cyber Security na Ku manage risk za technology kwenye mifumo ya forodha na utoaji mizigo kwenye meli.
Nimeona hizi contents zaoMkuu ukifungua kampuni yako jitahidi upige na Marine Cyber Security. Kwenye kazi zako usisahau kufanya Marine Cyber Security huku Afrika mifumo yetu tunaiamini kisa ni teknolojia ya Israel,Marekani au Urusi.
Kwenye kuilinda bado sana na Africa hatujapata hackers waliopiga tukio kwenye mifumo ya bandari au shipping lines. Hii mifumo tuliyonayo wazungu huko walipigwa na hackers mpaka wakaja na sheria ya kujikinga na Marine Cyber Security na Ku manage risk za technology kwenye mifumo ya forodha na utoaji mizigo kwenye meli.
Mambo ya program designingYeye binafsi kwenye huo uwanja wa computer anapendelea career ipi?
Kuna mwanajf fulani hivi kipindi cha nyuma alilalamika kuhusu hili.Sema wao walitumia trick tofauti kidogo.Tangazo la kazi lilitoka akaapply.Kavuka vikwazo vyote hadi kafika oral.Wakaanza maswali yao ya kuuliza mipango ya interviewee kuhusu kampuni.Jamaa kashuka idea konki sana.Shoo ikahamia upande wa wages.Wakamuuliza unataka tukulipe shingapi akataja.Wakadai hicho kiasi kikubwa so wakashushana bei hadi 2.5M per month! Makubaliano yakafikiwa.Ila cha ajabu baadaye jamaa hakuitwa.Akajua basi yawezekana kuna aliyekuwa mkali zaidi yake ndo kala shavu,akapotezea.Ila akaamua kufuatilia kwa wadau aliopiga nao interview akagundua nao hawakupata ile kazi.Jamaa baadaye kaja kugundua hawakuajiri mtu ila idea zake zile ndo wanazitumia.Hapo hajafaidika hata mia! Akaja jf kutupa sisi vijana tunaochipukia somo kuhusu huo utapeli hehe!Uswahili uswahi wa bongo mkuu.. kuna sehemu nilikuwà nafanya kazi, alafu kiswahi kinakuwa kingi.. kilicho uma zaidi nilikuta report zangu zinatumika alafu hawanipi hata mia
Hapo poa hiyo ni hatua kubwa zaidi.Nikikamilisha mambo yangu yote, nitarudi kwenye field kwa kuanzisha company yangu mwenyewe.. itayodili na hizo issue..
Huyu ni programmer!Mambo ya program designing
Umeongea kama professional kabisa.Kama focus yake hela umeisha fail. Programing inategemea una mfanyia nani, na sasa hivi zipo auto tools kibao zinarahisi kazi ya programing.. kila kitu kina hela inategemea una mfanyia nani na kina enda wapi
Cheti sio lazima ujuzi ndio muhimuDah mkuu unatu motivation speaker au ya kweli haya.
Yaani utaamjniwa vipi bila cheti sasa??
Hebu tufafanulie kabla hatujaenda darasani.
Me nilisoma ICT(informational communication technology)
Haya yote yanatokana na watu kutothamini vitu vya watu. Wao wanajiona walimpatia jwa kutumia idea yake for free ila kumbe huenda wangemchukua wangefanya vizuri zaidi. Watu wanaangaliaga hapo tuKuna mwanajf fulani hivi kipindi cha nyuma alilalamika kuhusu hili.Sema wao walitumia trick tofauti kidogo.Tangazo la kazi lilitoka akaapply.Kavuka vikwazo vyote hadi kafika oral.Wakaanza maswali yao ya kuuliza mipango ya interviewee kuhusu kampuni.Jamaa kashuka idea konki sana.Shoo ikahamia upande wa wages.Wakamuuliza unataka tukulipe shingapi akataja.Wakadai hicho kiasi kikubwa so wakashushana bei hadi 2.5M per month! Makubaliano yakafikiwa.Ila cha ajabu baadaye jamaa hakuitwa.Akajua basi yawezekana kuna aliyekuwa mkali zaidi yake ndo kala shavu,akapotezea.Ila akaamua kufuatilia kwa wadau aliopiga nao interview akagundua nao hawakupata ile kazi.Jamaa baadaye kaja kugundua hawakuajiri mtu ila idea zake zile ndo wanazitumia.Hapo hajafaidika hata mia! Akaja jf kutupa sisi vijana tunaochipukia somo kuhusu huo utapeli hehe!
Hata nami nilishangaa kwa kweli mtu anawapa proposal nzuri inayowafanya mzidi kutamba mnamwachaje sasa! Mngemuajiri mngenufaika naye zaidi kwa kuwapa vitu vipya kila siku. Ile sio Kampuni ni matapeli tu.Hata hao walioiba idea zako nao ni matapeli vilevile.Haya yote yanatokana na watu kutothamini vitu vya watu. Wao wanajiona walimpatia jwa kutumia idea yake for free ila kumbe huenda wangemchukua wangefanya vizuri zaidi. Watu wanaangaliaga hapo tu