PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hahahaha time is the best teacher!
 
Bila ajizi, hawa hakika walikuwa na madalali wa kisiasa aliowasema lissu. mirija yote ya kunufaika imekatwa, na sioni kama wakawa na heri njema huko waendako.

kumbuka damu zimemwagwa, kwa ajili.ya hicho chama, sasa kuwasiliti wenye nia ya dhati ni kuendelea kuzikandamiza roho za waliotangulia wakipigania chama vilevile.
 
Italeta picha gani kama wakienda huko wanakoenda kama kundi? Kuna coincidence kwenye watu wazima 50 kufuatana kiitikadi namna hii? Ikiwa kuna negotiation zimefanyika, wote watapata kitu au kuna watakaobaki wasindikizaji? Kama end game ni kushiriki uchaguzi, nini mategemeo yao kwenye na baada ya uchaguzi? I hope wana mpango madhubuti, itakuwa shame kwa ambao ceiling yao ya kisiasa itakuwa imefikia kikomo.
 
AMEN
CDM mpya inazaliwa rasmi wakishaondoka waganga tumbo wote!
 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…