PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..mbowe asingeweza tena kuendelea kuwa mwenyekiti kwa approach yake hiyo ya diplomacy..ilishafail, na si shihi kwake kuendelea na misuko suko fake iliyokuwa inatokea, alishindwa tu kutafakari vzr..alipaswa akubali kupumzika willingly asigombee kabisa!
 
Hawa jamaa wameshachelewa na kamwe hawataweza kuibomoa Chadema.
Chadema iliyopo chini ya mwenyekiti Lissu imewaunganisha watanzani na inaungwa mkono na watanzania na sio wanachama wa chadema pekee.

Kikubwa zaidi ni Mwenyekiti wa sasa TUNDU A. LISSU, Huyu ni mbeba maono na huu ni wakati wake na kila atakayemkwamisha au kupanga kumdhuru ajue hapambani na Lissu bali atapambana na aliyeweka maono ndani ya Lissu.
 
Inawezekana kweli sijui historia ya chama kufukuza kila mtu halafu kikabaki imara. Ebu nifundishe ndugu!
Katika hali ya kawaida hawa kina mrema unawaachaje?
Lucy lameki.
Bibi tit
Kasanga tumbo.
Bernard membe.
Mzee jumbe.
Na wengine wengi walifukuxwa ccm
 
Bora muondoke muondoke, muliwaingiza wake zenu kinyemela bungeni
 
Katika hali ya kawaida hawa kina mrema unawaachaje?
Lucy lameki.
Bibi tit
Kasanga tumbo.
Bernard membe.
Mzee jumbe.
Na wengine wengi walifukuxwa ccm
Hata kama sijui historia, lakini kati ya uliowataja ni Bernard Camillius Membe tu ndiye aliyefukuzwa CCM.
 
..unaongea kubeba spika, je waliotoa damu zao kwa ajili ya chama watasema nini..?
Kwamba kwasababu ulishiriki kudfeka kiwanja cha msikiti. Ndiyo uingie msikitini bila udhu!?
Hata kama alibeba speaker akini kwenda kinyume na msimamo wa chama haitamuacha salama.
 
Awa keng e waondoke haraka tena na wake zao kabisa kabisa wasije kusema tumewajaza ujauzito
 
Pameanza kuchangamka huko Chadema!
 
Hawa jamaa hawana Impact yoyote nje ya Chadema hata hio attention waliyopata Leo it's last time to have it, Kuanzia next Press waje bila issue za kusema Chadema hakuna Mtu atawasikiliza

Tundu Lissu na Heche ni Wabeba Maono hao Kina kigaila ni njaa kali tu waondoke
 
Hatimaye hatimaye hatimaye Chawa baada ya kujua hawana Maisha Ndani ya CHADEMA ,wamesepa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…