Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Safi kabisa.Sijawai fanya uho ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa.Sijawai fanya uho ujinga
It should! But its very unfortunate haipo hivyo most of the time.Age can't define maturity 😹
Ila kipindi nakuwa niliwai mrudishia demu wangu vitu alivyonipa akaniambia nilikupa kwa upendo na mm sichukui ivyo vitu ukitaka vichome huo ni utoto nilijionaga mjingaSafi kabisa.
Hongera kwa kujifunza...Ila kipindi nakuwa niliwai mrudishia demu wangu vitu alivyonipa akaniambia nilikupa kwa upendo na mm sichukui ivyo vitu ukitaka vichome uho ni utoto nilijionaga mjinga
Au sioHongera kwa kujifunza...
Nimekuwa na roho ngumu tangu ujana wangu,hayo mambo hayakunitesa.
Vice versaIt should! But its very unfortunate haipo hivyo most of the time.
Haha, haya mpwa!ANko tulia kwanza,. Mie nlikua nataka nimzingue kwanza huyo jamaa na mihasira yake😄😄😄
Vipi lakini binamu zangu wanaendeleaje?Haha, haya mpwa!
Hawajambo kabisa, mapambano ya kusoma "a for apple na f for fish" yanaendelea!🤣Vipi lakini binamu zangu wanaendeleaje?
Utakua mchukua ma blender wewee mada imekugusa 😂, mbona kaongea point tuuMie waliojoin kuanzia 2015 kwenda nyuma huko nawaonaga watu wa maana sana kumbe huwa najidanganya🤦♀️🤦♀️
Haha😂😂Utakua mchukua ma blender wewee mada imekugusa 😂, mbona kaongea point tuu
Haha😂😂,. Halafu baadae hapo wataanza kutuvimbia humu wakishajua kusoma na kuandika😃Hawajambo kabisa, mapambano ya kusoma "a for apple na f for fish" yanaendelea!🤣
Nje ya mada mkuu, naskia watoto wa songea wangoni mna viunooo ya kweli hayo??Haha😂😂
Wakifikia huko naleft humu kabisa yani🤣🤣Haha😂😂,. Halafu baadae hapo wataanza kutuvimbia humu wakishajua kusoma na kuandika😃
Kwanini sasa,. Wewe unakaa tu pembeni kuona wanapigana spana na babu zao😂Wakifikia huko naleft humu kabisa yani🤣🤣
Sifahamu mkuu, ngoja nijaribu kukulizia nitakupa majibu😑Nje ya mada mkuu, naskia watoto wa songea wangoni mna viunooo ya kweli hayo??
Mitano tenaaaaa.......Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.
Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.
Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.
Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Kwan wewe hukufundishwa mkuu? Haya niulizie tafadhali nna safari ya huko mwezi ujao, mwambie mpenz wako yule mkorofi kaka yangu anakuja soon. Ili asikubanie nkifika memba mwenzanguSifahamu mkuu, ngoja nijaribu kukulizia nitakupa majibu😑