Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Ila kipindi nakuwa niliwai mrudishia demu wangu vitu alivyonipa akaniambia nilikupa kwa upendo na mm sichukui ivyo vitu ukitaka vichome uho ni utoto nilijionaga mjinga
Hongera kwa kujifunza...


Nimekuwa na roho ngumu tangu ujana wangu,hayo mambo hayakunitesa.
 
Ngoja nianze kubeba madebe ya mpunga😆😆! Ila Huyo aloondoka na brenda mwizi hio tamaa sio ya kawaida! Mimi napenda saa navaa saa ya baby nakuja nayo hapo hapo kwako ikiwa na Muonekano ule ule 😅😅, sometimes ni kutengeneza tu bond ila isiwe too much! Tshirt za watu unachukua kila ukienda anyway kumbe hampendi kwanzia leo sichukui hata punje ya haradari.
 
Mkuu nadhani ni muda sahihi ku switch levels, date na washua tu na walio wastaarabu, hata me mwaka huu katika goals zangu si date na broke btchez, nimekua kama yule member mvaa mashati ya vitenge anaesema mlikua wapi sasahv mnaona nang'aa kwenye mashati yangu ya vitenge kisa mmechujaaa 😂😂
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Mitano tenaaaaa.......
 
Sifahamu mkuu, ngoja nijaribu kukulizia nitakupa majibu😑
Kwan wewe hukufundishwa mkuu? Haya niulizie tafadhali nna safari ya huko mwezi ujao, mwambie mpenz wako yule mkorofi kaka yangu anakuja soon. Ili asikubanie nkifika memba mwenzangu
 
Back
Top Bottom