Kumbe hua unaabudu likes? namhurumia huyo aliyekuoa kama umeolewa,inaonekana kila siku hua unashindana nae kwa ujuaji wako wakijinga,punguza ligi za kipumbavu.
Kati yangu mimi na wewe nani aliyeleta issue za likes? Upunguani unakutesa.Povuuu mwenye kupenda ligi ni wewe pole mkuu yaani likes zinakuliza kitoto sana
Kati yangu mimi na wewe nani aliyeleta issue za likes? Upunguani unakutesa.
Wewe ni kituko humu jf hakuna asiyejua hilo,vicomment vyako hua ni vya kushindana na watu kwa ubishi wako uliokosa elimu.Upunguani unakutesa kujigeuza mkosoaji
Punguani hujishtukia na kudhan kila anayemuona ni punguani mwenzie
Wengi hulizwa kwa uzembe wao wenyewe hakuna cha dawa wala nini.
Nimpe simu yangu bodaboda naumwa? Au jamaa yako aliomba boda amtafutie malaya bar.?
Wewe ni kituko humu jf hakuna asiyejua hilo,vicomment vyako hua ni vya kushindana na watu kwa ubishi wako uliokosa elimu.
Najuta wakati nakuenjoy upunguani wako wewe kituko cha jf,Kituko kinapojifananisha na kituko kingine😂😂😂😂😂
Naona unajuta kuniquote siku nyingine ukome ukome ukome shuain zako
Najuta wakati nakuenjoy upunguani wako wewe kituko cha jf,
Kumbe unajuta eeh! Bora umeamua kusema na hapa bado sijakubadilishia dozi,tulia hivyo hivyo ili usije ukavunja bomba la sindano.
Umeanza kuimba taarabu naona,hiyo ni dalili kua dawa inakuingia kunako,upunguani utakutoka tu usikatishe tu dozi.Pole shostie kama nakuona hapo ulipo full dera. Aluta kontinua hakuna kukimbia. siku nyingi usinikirupukie
Umeanza kuimba taarabu naona,hiyo ni dalili kua dawa inakuingia kunako,upunguani utakutoka tu usikatishe tu dozi.
Kujichekesha kama zuzu ni ishara ya kuishiwa,umeamua kuja na gia ya kujichekesha ili kujifariji kua dawa haikuingii ila dawa inakuingia kisawa sawa na dalili naziona.😂😂😂😂😂😂Pole shosti
Kujichekesha kama zuzu ni ishara ya kuishiwa,umeamua kuja na gia ya kujichekesha ili kujifariji kua dawa haikuingii ila dawa inakuingia kisawa sawa na dalili naziona.
Kutoa simu ni uzembe lakini mengine hata hayakuombi simu mkuu yana tumia simu zao!Huo ni ujinga, mleta hoja na jamaa yako ni wazembe. Unampaje mtu simu yako? Japo nakubaliana nawe juu ya bodaboda kutokuwa waaminifu, si baadhi, wengi wao.
Duh kweli mkuuBajaji na tax bubu za usiku ni za kuchukua tahadhari pia...unaeza kuta wote watatu wanajuana na wanazuga kama wamekutana kituoni kama abiria....
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Zuzu endelea kutumia dawa coz ugonjwa wako ni mkubwa kuliko hata nilivyokua nikifikiria.Pole jamani hio dawa anayekuwekea sijui anakuwekea wapi mpaka unaweweseka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zuzu endelea kutumia dawa coz ugonjwa wako ni mkubwa kuliko hata nilivyokua nikifikiria.
Hicho kicheko cha kujifariji nje tu ila ndani dawa imekuingia kisawasawa,utakoma kua unawajibu watu utumbo humu.Aiseee kumbe unaumwa. Pole zuzu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hicho kicheko cha kujifariji nje tu ila ndani dawa imekuingia kisawasawa,utakoma kua unawajibu watu utumbo humu.