Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Povuuu mwenye kupenda ligi ni wewe pole mkuu yaani likes zinakuliza kitoto sana
Kumbe hua unaabudu likes? namhurumia huyo aliyekuoa kama umeolewa,inaonekana kila siku hua unashindana nae kwa ujuaji wako wakijinga,punguza ligi za kipumbavu.
 
Upunguani unakutesa kujigeuza mkosoaji

Punguani hujishtukia na kudhan kila anayemuona ni punguani mwenzie
Wewe ni kituko humu jf hakuna asiyejua hilo,vicomment vyako hua ni vya kushindana na watu kwa ubishi wako uliokosa elimu.
 
Wengi hulizwa kwa uzembe wao wenyewe hakuna cha dawa wala nini.

Nimpe simu yangu bodaboda naumwa? Au jamaa yako aliomba boda amtafutie malaya bar.?

Pale hakuna cha dawa ni ujinga wa mteja mwenyewe unajengaje mazoea kiasi hicho, tena mimi nikimchukua boda kama naenda home na simjui haitakiwi aijue hata nyumba wengine anafika kusoma mazingira jinsi ya kuingia kuiba.
 
Kituko kinapojifananisha na kituko kingine😂😂😂😂😂

Naona unajuta kuniquote siku nyingine ukome ukome ukome shuain zako
Wewe ni kituko humu jf hakuna asiyejua hilo,vicomment vyako hua ni vya kushindana na watu kwa ubishi wako uliokosa elimu.
 
Kituko kinapojifananisha na kituko kingine😂😂😂😂😂

Naona unajuta kuniquote siku nyingine ukome ukome ukome shuain zako
Najuta wakati nakuenjoy upunguani wako wewe kituko cha jf,

Kumbe unajuta eeh! Bora umeamua kusema na hapa bado sijakubadilishia dozi,tulia hivyo hivyo ili usije ukavunja bomba la sindano.
 
Pole shostie kama nakuona hapo ulipo full dera. Aluta kontinua hakuna kukimbia. siku nyingi usinikirupukie

Umeanza kuimba taarabu naona,hiyo ni dalili kua dawa inakuingia kunako,upunguani utakutoka tu usikatishe tu dozi.
 
😂😂😂😂😂😂Pole shosti
Kujichekesha kama zuzu ni ishara ya kuishiwa,umeamua kuja na gia ya kujichekesha ili kujifariji kua dawa haikuingii ila dawa inakuingia kisawa sawa na dalili naziona.
 
Pole jamani hio dawa anayekuwekea sijui anakuwekea wapi mpaka unaweweseka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kujichekesha kama zuzu ni ishara ya kuishiwa,umeamua kuja na gia ya kujichekesha ili kujifariji kua dawa haikuingii ila dawa inakuingia kisawa sawa na dalili naziona.
 
Ni kweli mkuu wa stendi baadhi ni majambazi kabisaa wala si wezi tu. Niwape kisa kimoja.
Nilitoka safari nikateremkia parking ya cbe nikakodi boda kuelekea home tulipofika mahali fulani kuna kiza jamaa akasimama ghafla nakuomba ampigie rafiki yake nilikuwa na filimbi mkononi ambayo wakati napanda pikipiki hakuiona. Basi nikamuwekea filimbi shingoni na nikampa amri arudishe simu mfukoni na aondoke la sivyo namfumua ubongo! Kama ni simu asimame penye mwanga na watu ndo apige.
Jamaa akaomba samahani bro nina nia njema tu usiniumize kwani wewe pot? Nikamjibu mimi jug twende na simama pale pana mwanga piga simu yako na uweke saut kubwa.Alipofika kwenye mwanga nikamsimamisha nikamlipa nikatafuta usafiri mwingine
 
Huo ni ujinga, mleta hoja na jamaa yako ni wazembe. Unampaje mtu simu yako? Japo nakubaliana nawe juu ya bodaboda kutokuwa waaminifu, si baadhi, wengi wao.
Kutoa simu ni uzembe lakini mengine hata hayakuombi simu mkuu yana tumia simu zao!
 
Bajaji na tax bubu za usiku ni za kuchukua tahadhari pia...unaeza kuta wote watatu wanajuana na wanazuga kama wamekutana kituoni kama abiria....

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Pole jamani hio dawa anayekuwekea sijui anakuwekea wapi mpaka unaweweseka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zuzu endelea kutumia dawa coz ugonjwa wako ni mkubwa kuliko hata nilivyokua nikifikiria.
 
Aiseee kumbe unaumwa. Pole zuzu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hicho kicheko cha kujifariji nje tu ila ndani dawa imekuingia kisawasawa,utakoma kua unawajibu watu utumbo humu.
 
Back
Top Bottom