Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Wabheja Kotoghwa Wagh'wise!

Umenikumbusha msukuma mmoja hivi, ni mchokozi mchokozi na huwa tunataniana sana. Tunaweza kuwa tunaongea tuu kawaida halafu ghafla anaanza kuningelesha kisukuma tena kie cha ndani huku ananitazama usoni. Sasa mie hata sielewi namwambia wee vipii, maruhani yashapanda? anazidi niongelesha kisukuma tuu basi mie nacheka hadi mbavu zinauma ....

Nimemkumbuka tuu, leo ameniambia kuwa mie ndo kichocheo chake cha yeye kuwa mchokozi, jana aliniambia mie navuta bangi hehehehee nilifanya kituko flani hivi.... anyways, nimemkumbuka tuu vituko vyake baada ya kusoma maneno yako ya kisukuma.

Igholoo.
 
KUMALIJA?
NG'WANAKWANGU ?
Bhebhe ngosha nang'ho ete Kumalija lina lenelo legitanagwa Ghumalija.

Hiiiii bhebhe gwigwana ilangage getegete douyoushitola shamkaya nkoyi
 
Giki alina tuja gashi
Olemana mamihayo ga kuwawela banho geke "obise tole batemi ba se yeneye" gate mamihayo ga wiza.

Kongono nolo wale wayomba mamihayo ga nzaha doho, galeko mang'ing'wana gakwiganika ote nzaha.

Ehaha nolo o ntemi wise wayomba "nampandeka mamilemo matale gete o Kiranga, kongono ale na masala gete ng'ingwana mwenuyu, alemana masala matale gete", galeho mamnho gakohaya o Kiranga wapandeka mamilemo genayo kongono Nsukuma.

Tutizo eta mamihayo ga kupandeleja maganiko sagala.
 
@mbitiyaza maana yake nini?
 
Kuna ndugu zetu Wasukuma walikuwa wanakuja nyumbani Dar.

Yani kuna wengine hawamini kwamba kuna mtu hajui Kisukuma.

Wanakuongelesha mfululizo mpaka unakijua tu.

Tojage eng'hwani lolo ango. Olemana nalehaya kolola e Nyanza ya ngh'wani kwenuku.

Hapo mtu hajawahi kuona bahari anakulalamikia umpeleke beach, mpaka utaelewa tu.
 

Hahahaaaa! Just hahahahaaaa!

Shout out kwa huyo Msukuma...
 
Dah wewe ni msukuma original kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…