TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Tuna ushahidi gani kudhibitisha kuwa hizi comments ni kweli za Wazanzibari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo zuri sana hiliKuna kitu hukijui kuhusu Zanzibar na wazanzibar, njoo Zanzibar uwasikie wenyewe ndio utailewa.
Chuki ni mbegu iliyopandikizwa na sio kitu rahisi kufutika vichwani mwa wazanzibar mpaka siku huu muungano utakapovunjika au kubadilika muundo wake.
Kwa kifupi sana, wazanzibar wengi wanaamini haya:
1. Muungano huu ni utumwa dhidi yao (kwanini? Muungano huu ulitengenezwa kwa ujanja ujanja, haraka haraka, kisirisiri na Zanzibar iliingizwa kinguvu, ndio uliwanyang'a uhuru wao wa kujitawala na kujiamulia mambo yao)
2. Muungano huu ulitengenezwa na kuundwa na watanganyika kwa maslahi ya watanganyika (Kwanini? Watanganyika (kupitia watawala wake) wao ndio wanautaka sana na kuupigania huu muungano kwa hali, mali na damu)
3. Muungano huu ndio umeua diplomasia, utamaduni, imani, bandari, biashara, kilimo na utalii wa Zanzibar. (Kwanini? Nchi zote zenye muundo wa jografia kama Zanzibar (kama Dubai, Singapore) ambazo zilikuwa sawa sawa na Zanzibar kwenye maeneo hayo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 1960s zote zimepiga hatua kubwa mnoo kwenye hayo maeneo, na hapo hapo Zanzibar imekuwa duni zaidi, na sababu kuu ikielezwa ni huu muungano)
Ila huo ujenzi mpaka uanze na kukamilika nadhani si chini ya miaka 5.
Duh,kuhusu mashoga nadhani wewe kausha tuu.Huko tanganyila Mwakiyembe sasa anasema idadi ya mashoga ni ya kutisha sana, mnapenda sn ujiti
Wanaamini bara inawawekea kiwingu, nchi za arabuni zitawasaidia pakubwa kiuchumi na kimaendeleo pakubwa. Nafikiri tu.
Mohamed Said ansemaje juu ya hili
Ila dada zenu wana lafudhi tamu , nafikiria kuchukua wawili both unguja na pemba 😋😋😋, na hakuna kitu MTANIFANYAKitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna. Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!
Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.
Sawamjinga ni wewe ambaye nchi yako uliifuta kwa ajili ya muungano ila Zanzibar ipo na ina pumua, Tanganyika ndio iliokufa nchi ya wajinga
Nichangie tu , inafaa kuingia msikitini na viatu na inafaa pia kuswali na viatu hii kuvua viatu ni kwa sababu ya watu kuepusha kusafisha safisha kila mara , kipindi cha mtumw muhammad (swala na salamu ziwe juu yake ) waliswali na viatu vyao.
Kwa hiyo Zanzibar kuna ushenzi uliochanganyika na upumbavu changanya na dini iliyoletwa na majahazi ndiyo yamekuwa hovyo kabisaMkuu hapa Zanzibar kuna mashoga mpaka wamasai kutoka bara.
Ni vigumu mnoo kuutenganisha ushoga na mazingira ya Zanzibar ya sasa kwa sababu kuu mbili, moja tamaduni za kishenzi za siku nyingi za Zanzibar (muarabu ni mshenzi kabisa) na sekta ya utalii (mzungu ni mpumbavu kabisa)
Wanalaana haoMatusi hayana jipya kwetu watu wa huko wameziea matusi na kuchongoa mdomo tu
Sasa kama ipo Kwanini mnalalamika muungano,mjinga ni wewe ambaye nchi yako uliifuta kwa ajili ya muungano ila Zanzibar ipo na ina pumua, Tanganyika ndio iliokufa nchi ya wajinga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu hapa Zanzibar kuna mashoga mpaka wamasai kutoka bara.
Ni vigumu mnoo kuutenganisha ushoga na mazingira ya Zanzibar ya sasa kwa sababu kuu mbili, moja tamaduni za kishenzi za siku nyingi za Zanzibar (muarabu ni mshenzi kabisa) na sekta ya utalii (mzungu ni mpumbavu kabisa)
Hawana lolote haoDaraja lenyewe litajengwa na nn mana Hawa wakisema hawataki ujue haiwezekani. Kuna mnara Kule maruhubi ulianguka... Eti umeliwa na mchwa 😅
Zanzibar inatawaliwa na mtanganyikaMimi nimekaa Zanzibar, Pemba.
Nawajua hawa watu fika wanavyotufikiria.
Ni watu wa ajabu sana, tena sana
WaTanganyika wangewajua namna walivyo wabaguzi, hawawezi asilani kuwapa uongozi.