aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 798
- 1,178
Sio munakuwa kama mnalazimisha Watanganyika ndio wanaolazimiaha muunganoKama wao wenye kisiwa hawataki sasa kwa nin tunakua kama sisi ndo tunalazimisha muungano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio munakuwa kama mnalazimisha Watanganyika ndio wanaolazimiaha muunganoKama wao wenye kisiwa hawataki sasa kwa nin tunakua kama sisi ndo tunalazimisha muungano?
Sensa ya wapi hiyo?Mkoa wa Mbeya tuko 3.8M huko, wapatikane mashoga 2000 huoni hio ni ratio ndogo sana.
Ni SAWA na mtaa mmoja wa Nsalaga pale hadi Uyole
Ukraine si kisiwa[emoji28][emoji28]wewe wafikiria why Russia imevamia Ukraine?
Zanzi haiitaki Tz, sisi twalazimisha ndo maana hata madeni waliwahi sema kateniInayonyonywa huku inatumia umeme uliotoka Tanganyika na Wana madeni mengi wamesamehewa na wanategemea vingi kutoka bara. Ingetakiwa mshukuru Tanganyika mumepata pakupumulia na hako ka visiwa vidogo kiasi mmoja akijamba aliye mwisho wa kisiwa anaskia. Na hivi mnazaa na kuwekeza kuoa mitala hyo population mngeiweka wapi?
Wacheni kulalamika shukuruni Tanganyika nyie
Ukiwachunguza hao utagundua hawana elimu wala exposure hata kidogo.Kwanini hao walio comment wana chuki kiasi hiko?
Kuvamiwa sio lazima kiwe kisiwa lazima Kuna security, economic interest na mambo mengineyo Kwa msitakabali wa nchi na Russia lazima a protect interest na nchi by any means. Hata Ukraine inatumiwa tu hapo ka ambavyo zenji ingeweza kutumika remember east Africa Tanzania ni nchi kubwa rich in resources so it's easier watu kutumia weak link hata misimano ya kidini kuleta usumbufu siunaona yanayotokea huko CongoUkraine si kisiwa
Lengo la Urusi ni kurudisha USSR
Kwanini hajamvamia Finland?
Wengi wanaangalia tu kiushabiki huko zenji kwenye umaskini mkubwa tuZanzi haiitaki Tz, sisi twalazimisha ndo maana hata madeni waliwahi sema kateni
Ndio tuwaache labda Oman atawasaidiaWengi wanaangalia tu kiushabiki huko zenji kwenye umaskini mkubwa tu
Hizo ni kelele za mlioshindwa majukumu yenu.Kuvamiwa sio lazima kiwe kisiwa lazima Kuna security, economic interest na mambo mengineyo Kwa msitakabali wa nchi na Russia lazima a protect interest na nchi by any means. Hata Ukraine inatumiwa tu hapo ka ambavyo zenji ingeweza kutumika remember east Africa Tanzania ni nchi kubwa rich in resources so it's easier watu kutumia weak link hata misimano ya kidini kuleta usumbufu siunaona yanayotokea huko Congo
Tutajie!Zanzibar inatawaliwa na mtanganyika
Wavivu wakufikiria hao Yani hawataki kujiletea maendeleo wasubirie kuletewa watakufa maskini.Ndio tuwaache labda Oman atawasaidia
Majukumu Gani yameshindwa, maana Kila nchi Ina historia yake haifanani na haiwezi ku share experience remember Kenya was a settler economy na haijawahi onyesha hyo interest tofauti na idd Amin na Uganda aliyetaka kuvamia sehemu ya Kagera.Hizo ni kelele za mlioshindwa majukumu yenu.
Mbona Kenya hawajavamia Mkoa wa Mara maana kuna madini
Ndio tuwaache, sisi tujiwekeze kwenye Ulinzi wa mipaka yetuWavivu wakufikiria hao Yani hawataki kujiletea maendeleo wasubirie kuletewa watakufa maskini.
Na tunawahudumia kwa tozo zetu kila kituEti machogo
Muungano ndio wakuvunjwa ndio unao lalamikiwa sio nchi ya Tanganyika ilio kufa kifo cha mendeSasa kama ipo Kwanini mnalalamika muungano,
Hao wanataka wawe chini ya ngozi nyeupe,,, na kikubwa kinachowazuzua ni vimisaada vya wa omani na waarabu wengine,,,, siku Itokee muungano uvunjike Zenj itarudi tena kua chini ya waarabu na hao wanaopiga kelele wataanza tena kulialiaRaia wengi wa huko bado ni wajinga fulani na wanasiasa na dini itawayumbisha na hiyo misimano Yao itawatesa mno ndio tushaungana hivo
Unguja ni kisiwa na Pemba ni kisiwa Kwa pamoja vinaitwa Zanzibar.Ila mara nyingi mtu akienda Unguja husema nipo Zanzibar Kwa wabara lakini ndo husema hivo na kisiwa Cha unguja ndo kikubwa kuliko Cha Pemba.Ila Pemba Ina wapambanaji sana katika maisha na pia Pemba Ina Ardhi yenye rutuba so chakua Pemba Huwa ni Cha kutosha make mazao mengi yanakubali.Mimi ningependa kujifunza jambo kidogo ili niweze kujadili kidogo, UNGUJA, PEMBA na ZANZIBAR, tofauti yake ni nini?
Twende kwa takwimu. Chagua mwaka wowote uupendao halafu tutajie idadi ya ZERO zilizozalishwa Bara ulinganishe na zilizozalishwa Zanzibar.Zanzibar inaongoza Kwa division 0
[emoji38] Daah sio poaa... bibi zao walibakwa wakazaliwa waarabu koko halafu wanajisifia ujinga.