Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Inayonyonywa huku inatumia umeme uliotoka Tanganyika na Wana madeni mengi wamesamehewa na wanategemea vingi kutoka bara. Ingetakiwa mshukuru Tanganyika mumepata pakupumulia na hako ka visiwa vidogo kiasi mmoja akijamba aliye mwisho wa kisiwa anaskia. Na hivi mnazaa na kuwekeza kuoa mitala hyo population mngeiweka wapi?
Wacheni kulalamika shukuruni Tanganyika nyie
Zanzi haiitaki Tz, sisi twalazimisha ndo maana hata madeni waliwahi sema kateni
 
Ukraine si kisiwa

Lengo la Urusi ni kurudisha USSR

Kwanini hajamvamia Finland?
Kuvamiwa sio lazima kiwe kisiwa lazima Kuna security, economic interest na mambo mengineyo Kwa msitakabali wa nchi na Russia lazima a protect interest na nchi by any means. Hata Ukraine inatumiwa tu hapo ka ambavyo zenji ingeweza kutumika remember east Africa Tanzania ni nchi kubwa rich in resources so it's easier watu kutumia weak link hata misimano ya kidini kuleta usumbufu siunaona yanayotokea huko Congo
 
Hizo ni kelele za mlioshindwa majukumu yenu.
Mbona Kenya hawajavamia Mkoa wa Mara maana kuna madini
 
Hizo ni kelele za mlioshindwa majukumu yenu.
Mbona Kenya hawajavamia Mkoa wa Mara maana kuna madini
Majukumu Gani yameshindwa, maana Kila nchi Ina historia yake haifanani na haiwezi ku share experience remember Kenya was a settler economy na haijawahi onyesha hyo interest tofauti na idd Amin na Uganda aliyetaka kuvamia sehemu ya Kagera.
So Kila nchi na history ya mambo yake
 
Raia wengi wa huko bado ni wajinga fulani na wanasiasa na dini itawayumbisha na hiyo misimano Yao itawatesa mno ndio tushaungana hivo
Hao wanataka wawe chini ya ngozi nyeupe,,, na kikubwa kinachowazuzua ni vimisaada vya wa omani na waarabu wengine,,,, siku Itokee muungano uvunjike Zenj itarudi tena kua chini ya waarabu na hao wanaopiga kelele wataanza tena kulialia
 
Watu wa hovyo ni sisi wabara unaweza kuulizwa mambo ya Zanzibar yanakuhusu nn na wana tamaduni zao fika hawaendani na wabara ?

kasehemu kadogo mnakatolea roho kuna nn cha maana kule ?

Hapa bara huoni kweny uzi wa Arusha na Mwanza watu wanatukana kwamba hawapendani..Kama ulikuwa hujui hata ndani ya bara watu wanachukiana mara utasikia mkoa fulani ni "mashoga" mara hivi.

Huwezi kuzuia chuki za mtu muache na jua 50 zako .Mambo unayoleta ni umbea basi tambua hata kimkoa sisi wa bara tuna bifu bado kuna makabila watu hawapendani.

Ukweli usiojua Zanzibar inaweza kuwa mbali kuliko kuungana na huku bara vyama ni kujuana , ukanda na ukabila.
 
Mimi ningependa kujifunza jambo kidogo ili niweze kujadili kidogo, UNGUJA, PEMBA na ZANZIBAR, tofauti yake ni nini?
Unguja ni kisiwa na Pemba ni kisiwa Kwa pamoja vinaitwa Zanzibar.Ila mara nyingi mtu akienda Unguja husema nipo Zanzibar Kwa wabara lakini ndo husema hivo na kisiwa Cha unguja ndo kikubwa kuliko Cha Pemba.Ila Pemba Ina wapambanaji sana katika maisha na pia Pemba Ina Ardhi yenye rutuba so chakua Pemba Huwa ni Cha kutosha make mazao mengi yanakubali.
 
Back
Top Bottom