Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Halafu cha kushangaza wazanzibari wakiwa huku bara huwezi kuwasikia wakilalamika kuhusu muungano hata kama atatokea mtu akaanzisha mada kuhusu muungano, yaani watapiga kimya huwezi kuwasikia wakichangia chochote..........ni kana kwamba walishaingia hofu fulani, labda ni baada ya mzee Jumbe kwenda kuhifadhiwa pale kigamboni kila mazanzibari anaogopa kutoa mitazamo pingamizi kuhusu muungano.​
 
Na rais wenu sasa ametokea wapi? Saa zote makofi mnampongeza
Mnaweza kuwa mmetoa raisi lakini kama bahati tu, kwa sababu kwenye wajinga wengi huwa akosekani mwenye akili
Kitu cha maana wasisizene watoto wenu kusoma elimu dunia kwa bidii sana
Jamii yoyote ambayo watu wake wame elimika huwa awatii huruma kama ninyi wa zanzibar
Jikomboe kwanza kifila hivyo vyote vinakuja outomatic
 
Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna.

Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!

Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.
Usipende kalia vitu vya ncha kali
 
Siyo Leo labda kizazi kijacho,tunza huu ujumbe.
 
Mashoga tanganyila ndo kwa muna mpaka maofisi na makakampuni kwa mujib wa Mwakiyembe
😅😅😅😅mkuu ucpanic, kubali ukweli achana na habari ya huyo waziri.
Kanisha nilichoandikaa
 
Hao wavaa barakashee dawa yao ndogosana

Tujae kule tujenge tujiachie Wala Wala tujenge clubs kule ,, tupeleke wachaga=-O(++)(++)warangi wa kushato

Hadi hao vichwa flat wapotee ..kuzaliana nawaachia wasukuma
 
Sio waribakwa ipo hivi mzanzibari hasa mpemba yupo teyar amtoe mkewe akafanye mapenzi na mwarabu ili tu wapate chotara kwenye nyumba hata kama sio damu yake.

Ni watu wanaowaabudu sana waarabu

Ujinga is real..
... Duh! Hii sasa kali! It seems kitanda hakizai kharam msemo maarufu huko ulilenga kuhalalisha huu uozo na wamefanikiwa.
 
Dawa ya mtu mjinga ni kumtawala kwa mkono wa chuma tuu maana hana akili

Kama hujui hiyo Zanzibar ni kolon la Tanganyika maamuz yote yanatoka Tanganyika

Tanganyika ndiyo inayoamua nan awe rais huko

Wajinga nyie

dah unajivunia ushenzi
 
Binafsi nashauri Muungano uvunjwe na kila mtu abaki kwao.. FULL STOP.
 
Bara inaidadi ya watu zaidi ya milion 6 0 hata zilo zikiwa milion moja bado haiwezi kuizidi Zanzibar weka takwimu zako na Mimi niweke zangu
Weka idadi ya ZERO kwanza halafu ndio ujitete.
 
Za pemba kuzing'oa stori mingi Unguja chap tu
Lengo halitatimia, itakuwa kama umeokota wa hapo Tanga au Tabora au Dodoma, Tabora, Lindi, Morogoro, Arusha,Mwanza, Manyara, Kilimanjaro, Kagera,Mtwara na Pwani.
 
Wajifunze hata kuandika wanachuki za kimadrasa sana Gavana NB daraja halina maana
 
... bibi zao walibakwa wakazaliwa waarabu koko halafu wanajisifia ujinga.
Walibakwa na wavamizi kutoka Tanganyika na wanaendelea kubakwa kila baada miaka 5
 
Back
Top Bottom