Halafu cha kushangaza wazanzibari wakiwa huku bara huwezi kuwasikia wakilalamika kuhusu muungano hata kama atatokea mtu akaanzisha mada kuhusu muungano, yaani watapiga kimya huwezi kuwasikia wakichangia chochote..........ni kana kwamba walishaingia hofu fulani, labda ni baada ya mzee Jumbe kwenda kuhifadhiwa pale kigamboni kila mazanzibari anaogopa kutoa mitazamo pingamizi kuhusu muungano.