Baadhi ya marafiki wakifanikiwa kipesa tu kidogo, wanaanza maneno ya kejeli

Waliofanikiwa sio wote lakini they never tell openely how
 
Ahh its okay…. ni hela zao pia
Ukitaka uenjoy hii life usipende associate na watu ambo wata-consume your peace….. ukiona mtu ana dharau kisa may be ana hela unamuacha cuz kazihangaikia its his money… Let jim do whatever he want…

my take… Keep Pushing 🤍💋
 
[emoji23][emoji23][emoji23],Mimi napenda sana mtu anidharau kwasababu ya Umasikini wangu ili nipate hasira kali za kupambana.
 
Hii nayo ni pointi inatupa raha duniani. Kila mtu anaraha yake kwa urefu wa kamba yake.
 
🤣🤣
 
Mkuu nina mashaka humjui vizuri Sirjeff Dennis usingekuwa unayaongea haya! Kuna watu wanamaisha.[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…