Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Mmmmh nina wasiwasi na baadhi ya watu humu.Tundulisu amekuwa wa 9763
Source yake ni Lumumba!!Mtoa mada hajatoa source na vigezo pia.
Sidhani kama Mzee Mugabe ametendewa haki.Kwangu mimi,he is an intelligent Hon.President.
The Great Gatsby
Usiwe na wasiwasi kwani vipi?Mmmmh nina wasiwasi na baadhi ya watu humu.
Marais...Tundu Lissu?....
Ngoja nipite.
The Great Gatsby
kweli Nduguunaweza ukawa na elimu kubwa lakini umefoji kama bashite
Kwani wewe una elimu ipi na unaitumiaje? Maana kwa bahati mbaya unaweza kuwa na cheti cha shahada hata wewe.